CRJE na ufisadi serikalini

kweli kabisaa kwa mfano kuna jamaa yangu ananiambia udom inamiaka mitatu na nusu lakini majengo yake yana crake za kutisha,tiles zinacheza ukikanya majengo hayajakabidhiwa lakini yanahitaji repair na ni hao hao CRJE,they do not know if cheaper things comes with costs

swala la udom ni kwamba lile eneo waliopewa kujenga chuo ni earth quake zone that why halikua na kitu asilimia kubwa jamaa wamekurupuka kushusha migorofa ya nguvu bila kuomba ushauri ofisi ya georgical survey of tanzania hata pindi walipofuatwa shauriwa nasikia uongozi walikua wabishi thats why all
 
Makandarasi wengi wa kitanzaania hawana uzoefu wa kusimamia miradi mikubwa. kibaya zaidi kazi ya ujenzi ukiihariba metengenezo na matumizi yake yanakuwa aghali zaidi! so .... no client is willing to risk his investment. Otherwise nakubaliana na Fighter hapo juu . hata hivyo nitoe angalizo kwamba kuna wakti ujenzi unakuwa hovyo kiasi cha kusababisha failure of structural members. [ kaanagalie beams za jengo la Millenium tower upande wa parking kunambili au tatu zina moment failure]

Mkuu ebu niambie ni old structure or mpya inayojengwa?
 
swala la udom ni kwamba lile eneo waliopewa kujenga chuo ni earth quake zone that why halikua na kitu asilimia kubwa jamaa wamekurupuka kushusha migorofa ya nguvu bila kuomba ushauri ofisi ya georgical survey of tanzania hata pindi walipofuatwa shauriwa nasikia uongozi walikua wabishi thats why all

Nakubaliana na wewe Dodoma ni earth quake zone!

Kaka ni hatari kudesign bila kujumuisha vitu hivyo!! kwa taarifa tu sio earh quake factor ambayo iliwekwa kwenye majengo ambayo nihusika hata soil bearing capacity tuliyotumia ilikua ndogo compare na soil profile tulioikuta site hence very advantage kwa stability ya structure.

Kama earth quake ikipita mazara kidogo unayoweza pata ni kama vile tiles kubanduka au hata vioo kupasuka na sio failure ya structure members unless otherwise.
 
ukiambiwa wachina ni wa china kayaangalie yale majengo ya udom, hadi waziri x aligomea lakini wakapewa go on. Jengo la ku accomodate watu 4oo. Flow 3 yamekamilishwa kwa miez si zaid ya mi3. Wakati kuna sheri ya x inajengwa na hao hao tangu 2009 mpaka leo bado.

Ebu weka sawa haya maneno yako kama yana kosa mtiririko fulani na kupoteza maana, samahani sana.
 
mhhh

issue hii haijakaa sawa japo nimetonywa hii kampuni inatoa hisa kwa mkulu mwenyewe sasa sina hakika juu ya haya
najua humu kuna ma injinia wengi tuu wanaweza kutufungua macho
 
Crje ni kampuni ambayo serikali ya china ina share kubwa zaidi, kama ni rushwa itakuwa kwenue level ya juu sana, ambapo hata wahisani wengine wanafanya hivyo wanapotoa misaana na kuleta kabampuni yao ya ujenzi kufanya kazi husika.

Kiutendaji crje ni wazuri sana kama kazi husika umemtafuta kwa kupitia utaratibu single source, lakini sehemu yeyote kwenye ushindali lazima ataweka gharama kidogo ili apate kazi , kwani wao hawaangalii faida tu bali hata kuwapatia kazi watu wao sehemu yeyote duniani
 
mimi naona makampuni ya Kizalendo bora yakafute tuu uanachama wake pale ERB kwani haina maana kusajiliwa na kulipa ada huku kazi zenyewe zote wanapewa wenye kutoa pesa
 
mimi naona makampuni ya Kizalendo bora yakafute tuu uanachama wake pale ERB kwani haina maana kusajiliwa na kulipa ada huku kazi zenyewe zote wanapewa wenye kutoa pesa
Mkuu, ERB ni engineers registration board aina uhusiano na wakandarasi labda una maana CRB mimi ni shabiki sana ya wazawa wakandarasi kuna baadhi wachache wanajitahidi lakini wengi mzee baraa na supervise wengi mzee utachoka na utageuka kutoka kuwa muhandisi na kuwa foreman hata wengine awawezi kutofautisha m3 na m2
 
HE+JK.JPG

MICHUZI: JK Aizawadia NSSF kwa Mchango katika ujenzi

N
SSF imezawadiwa kwa kuwawezesha ma conntractor wazalendo na in short NSSF inaongoza kwa hilo Tanzania ndio maana hata Mheshimiwa Rais ametambua hilo na kaamua kuwazawadia.

Hapa sasa mchina ana kosa gani?

Any way sijui uwezo wa wakandalasi wetu wa ndani katika hasa katika kazi na ubabaishaji kama wameacha au bado wapo vilevile ambapo unakuta kuna kampuni hata osifi haina ila zipo ndani ya begi na brief case.

Mto mada ebu tupe details kidogo juu ya uwezo wa makampuni ya ndani?

Hiyo nimeipenda maana wazawa tuanataka kila kitu kupendelewa hata kama hatuna uwezo, ofisi za brifkesini mitaji hatuna. Ningedhani kwani tufanye overhaul ya system ya mikopo katika mabank yetu na wakandarasi wazawa tuwe committed kweli kweli kwani aliyeyaua mashirika ya umma si watz wenyewe? leo tunaambiwa Mataka kafikishwa mahakamani kwa uzembe akiwa ofisini halafu tunabaki kulalamika tu.

Swala la wazawa kupendelewa ni mambo ya kisiasa hayo, kama tender ni open internationally sasa wachina wanashida gani hapo?
 
Mkuu Fighter,

Nakubaliana na hoja zako.Mkuu wangu kampuni za wazawa ni hovyo kabisa hawajali wala hawaheshimu kazi hasa wakisha lamba advance.Kuna hotel imejengwa na wachina opposite ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha waandisi walikuwa wanalala sehemu ya kazi sasa sijui ni kubana matumizi au kusimamia kazi masaa mengi sijui ila wakati mwingine nikipita muda wa saa 2 usiku unashangaa kazi zinaendelea kama kawaida.

Jamani!!,naona tusiweze vitu kwa ushabiki!!!,kwamtu wa kawaida nyufa ina maana tofauti kabisa na wataaluma wa uhandisi wanavyoelezea,bahati nzuri nilikua kati ya timu walio sanifu baadhi ya majengo ya UDOM(structure design), majengo yote ni frame structure yaani kuta za matofali hazihusiki na ubebaji wa mzigo!!!Mpaka hapo msuya umenipata!

Sasa ni nadra sana kupata failure cracks kwenye aina hii,vitu waweza pata ambavyo ndio wengiweni mnazani ni failure cracks ni shrinkage cracks kwenye either kuta za tofali au kwenye skimming ambazo ni kawaida kwenye region ambazo evaporation iko juu,with time vitu hivyo uisha.

Wengine wamefikia hata kuita expansion joints ni nyufa, hii balaaa!!!!!!!

Kuhusu wakandarasi wazawa na wachina, kwa kweli sisi wazawa tunaitaji kwa kweli tujifunze hata nidhamu ya kazi, kwa taalifa tu kuna wazawa walipewa tenda huko UDOM lkn wengi wao ilikua aibu mtu analamba advance tu anakimbilia VOGUE na kuacha kazi ya watu baadhi yao walifukuzwa.

Mi naamini kama usimamizi ni mzuri wachina wanaperfome nenda UDOM angalia projects za mifuko tofauti utajifunza kitu.
 
Mkuu, ERB ni engineers registration board aina uhusiano na wakandarasi labda una maana CRB mimi ni shabiki sana ya wazawa wakandarasi kuna baadhi wachache wanajitahidi lakini wengi mzee baraa na supervise wengi mzee utachoka na utageuka kutoka kuwa muhandisi na kuwa foreman hata wengine awawezi kutofautisha m3 na m2

Fighter

Kwenye m3 au m2 umeenda mbali kuna wengine hata kusoma na kuandika ni issue unajua sasa hivi sekta ya ukandarasi imeingiliwa haimzuii yeyote kufanya hiyo biashara unajua tofauti na madvocate na ma-auditor kwamba ili upractic lazima uwe professional
 
Mkuu Fighter,

Nakubaliana na hoja zako.Mkuu wangu kampuni za wazawa ni hovyo kabisa hawajali wala hawaheshimu kazi hasa wakisha lamba advance.Kuna hotel imejengwa na wachina opposite ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha waandisi walikuwa wanalala sehemu ya kazi sasa sijui ni kubana matumizi au kusimamia kazi masaa mengi sijui ila wakati mwingine nikipita muda wa saa 2 usiku unashangaa kazi zinaendelea kama kawaida.

Fighter,

Nashukuru kwa technical explanation, Msuya is a civil Engineer or chemical and process eng? maana viginevo asingekimbilia kuzungumzia crack bila kujua ratios za cement ya kwenye concrete na mortar ambayo naamini ndo sehemu yenye cracks, I have been at Udom one time cracks zilizo nyingi kama sio zote zipo kwenye joints za beams/columns na masonry
 
Ebu weka sawa haya maneno yako kama yana kosa mtiririko fulani na kupoteza maana, samahani sana.

Kwani concrete inatakiwa kuwa cured miaka mingapi? it is only 28days sasa usichanganye uwezo wa kifedha na stregth ya concrete
 
Back
Top Bottom