CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Kwani Rostam alikuwa na roho ya ujasiri?
Labda ya paka.......kuiba koote huko bado anajiona masikini
Kwani Rostam alikuwa na roho ya ujasiri?
Mkuu nilimuona Zungu jana akinena kwa hisia kali. Unajua Zungu naye anaishi jangwani (amevamia). Hakika serikali inatakiwa ichukue eneo lote la jangwani na kuliboresha ili iwe pahala ambapo ni pa wananchi kupumzika. Jiji kubwa kama Dar linakosa sehemu ya kupumzika kwa wananchi wake kweli?
Hili ndio Tatizo la Miji Mikubwa Kama Dar es Salaam Kuwa na Viongozi BOGUS!! Just anaongea Kujifurahisha ili aonekane anatetea!! Dar es Salaam yote imekuwa Slums (Squatter) kutokana na kuwasikiliza watu kama hawa ambao wanafikiri kutumia MASABURI!! For any sustainable cities planning must be a key thing for proper environment!! Nadhani alitakiwa aulize je Hawa wavamizi tutawafidia Vipi? Ila nisingependa kuwaita wavamizi kwani Dar es salaam limekuwa moja ya majiji duniani ambayo hayana any Master plan, Hivyo kila mtu hujifanyia mambo yake kutokana na urefu wa kamba yake!! (Financial Capabilities)
Zungu jn kaongea sn kwa hisia 2subili 2majibu ya leo jion
ope watamsikiliza ha2taki uchaguz mdogo wa ilala
Mkuu, Kwa hiari yake Kujiuzuru nyazifa zote ndani ya chama chake pamoja na ubunge wa ilala kuonyesha kuwa haungani na waziri wa ardhi juu la sakata hili la jangwani.Nyayo za Rostam? Hebu fafanua swali lako maana sikumbuki kama Zungu anatuhumiwa kwa ufisadi!
Mkuu, Kwa hiari yake Kujiuzuru nyazifa zote ndani ya chama chake pamoja na ubunge wa ilala kuonyesha kuwa haungani na waziri wa ardhi juu la sakata hili la jangwani.
Duh hatari sanaJana Mbunge wa Ilala Mh. Zungu aliijia juu wizara ya ardhi kwa kutaka kupoka eneo lote la jangwani magomeni kuwa la shughuli za michezo na mapumziko kwani wananchi walivamia eneo hilo la wazi. Zungu ametishia kuuachia hata ubunge wa Ilala ikibidi na kuungana na wananchi wake wote waliojenga Jangwani kuiburuza serikali mahakamani.
Kwa sauti ya ujasiri zungu alisema " Mheshimiwa spika nipo na swaumu yangu nasema niko radhi kuuachia ubunge wangu wa Ilala na kujiunga na wananchi wangu kuipeleka serikali mahakamani kama mpango huu utaendelea, najua mnataka kutoka Masaki mje Magomeni kula ice cream, mimi hilo napinga. Hakuna aliyevamia eneo lile, lile eneo limevamiwa na vyura si raia. Narudia kusema siungi mkono HOJA hii asimili mia"
Navyojua mimi kama bajeti hii itapita basi hilo eneo hilo lote lazima lichukuliwa na serikali kwa ajiri ya shughuli za viburudisho na michezo, na Je Zungu atatimiza ahadi yake hii? Ana roho ya ujasiri (roho ya paka) kama ya Rostam au anatishia nyau serikali yake ya CCM?
HatariCOPLO ZUNGU ...[alikuwa coplo JWTZ]...lazzima kuenzi vyeo vyetu...mbona kulikuwa na Sergent Samuel doe..sio kuwwachia maafisa tu ndio watambie vyeo....
HUYU ZUNGU NI MJINGA SANA....HIVI PALE JANGWANI KUNA NYUMBA AU VIBANDA VYA TOPE....AACHE SIASA..ANATETEAJE WATU KUKAA KWENYE MAZINGIRA HATARISHI...YOTE HII NI KURA TU ANATAKA..KWA WAJINGA WENZAKE..WANAOISHI MABONDENI...WANAPOKUFA KWA MAFURIKO ANAFURAHIA??
NI MUHIMU ENEO LOTE LA JANGWANI KUANZIA SALENDA BRIDGE NA MABONDE YOTE JIJINI YAKAGEUZWA KUWA GREEN ZONE...NA ZIJENGWE AMUSEMENT PARKS AND SPORTS FACILITIES..TENA TUANZISHE KABISA CHOMBO KUDHIBITO BONDE LA JANGWANI ...SEHEMU NYINGINE TUWEKE MASHAMBA YA MBOGA MBOGA...VUNJA VUNJA MABONDE YOTE DAR NA SIO JANGWANI TU ..HATA KEKO,....NA KULE MTONI..KOTE!!