Recent content by EngFDM

  1. EngFDM

    Mashine zq kuchuja chumvi kwenye maji

    Naomba kupata uzoefu kwa mwenye uelewa juu ya hizi mashine za kusafisha maji chumvi kuwa maji safi ambazo kwenye baadhi ya miji zimefungwa na zimekuwa msaada sana kwa maeneo yenye adha kubwa ya maji chumvi
  2. EngFDM

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Kwa kawaida mamba husafii kwenda uelekeo tofauti na maji(upstream)
  3. EngFDM

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Video nyingine nimeipata
  4. EngFDM

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Go gunners, smash Bayern and qualify to Semis
  5. EngFDM

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    JF team nimekutana na hii habari kwenye whatsap, naomba kwa mtu aliye karibu na maeneo ya huko Chemka atuambie kama ni kweli au ni uzushi? Naambatanisha na video na huo ujumbe unaozunguka Kinga ni bora kuliko tiba. Hapa ni Chemka kule boma ng’ombe. Sehemu pendwa kwa kuogelea na natural Massage...
  6. EngFDM

    Itakuaje Iran ikitumia kombora la Hypersonic?

    Hio vita na Hamas isingekuwa pressure ya kimataia, Israel ana uwezo wa kuifuta Gaza chini ya saa 24, lakini maafa yataluwa makubwa sana.
  7. EngFDM

    JamiiForums Usiku wa manane

    Tukeahe, ni usiku wa manane
  8. EngFDM

    Vita ya 3 ya dunia (WW3)

    Dunia imeshakumbwa na vita nyingi sana, ila kwa mujibu wa historia zipo vita kuu mbili zilizoigawanya dunia kwenye pande mbili, vita zilizosababisha vifo vya mamilioni ya watu, vita ya kwanza ya dunia(WW1) na vita ya pili ya dunia (WW2). Tangu kuisha kwa vita ya pili ya dunia mnamo mwaka 1945...
  9. EngFDM

    Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    Aweke turubali mvua zikiisha atafute fundi mzuri arekebishe. NB: Asisite kunitafuta
  10. EngFDM

    Ni sehemu gani ya utalii naweza tembelea wilaya ya Kondoa

    Kuna maeneo ya vivutio wilayanj Kondoa kama Kondoa Irangi Rock Art painting iliyopo Kolo; pia kuna Mbuga za wanyama za Mkungunero na Swagaswaga pamoja na hifadhi za misitu ambazo zinabubujisha maji
  11. EngFDM

    Nahitaji fundi mzuri wa kupaua ni shading ya vimbwete.

    Nahitaji fundi mzuri wa kupaua ni shading ya vimbwete. Aweze kunipa mahitaji ya vifaa na gharama za ufundi. Picha ya mfanano nai attach It is Urgent.
  12. EngFDM

    Naomba kufahamu Sumu ya mchwa

    Adrian solution Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  13. EngFDM

    TANZIA Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Calvin Maimu afariki dunia

    Bora umewajibu waache kusambaza taarifa za uongo.
Back
Top Bottom