Hii dhana ya kujuana na connections zinakosesha sana kazi vijana....nikitulia nitaleta uzi wangu but nakumbuka kuna uzi wako wakupata kazi nikacomment my dream ya kufanya kazi katika one of the international organization, now today am here bila connections yoyote
Kwenye local NGO kuna shida hatari but kama ulivyosema miradi mingi ya wamerekani wanachoangalia ni experience....nilishafanya kazi kwenye local NGO moja tuliofanya interview baada ya kupata kazi tukakutana na watu wengine ambao hata kwenye interview hatukuwa nao.....
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.