Usikate tamaa.
Jitathmini. Hebu fanya review ya nguvu ya CV yako. Google 'how to write an eye catching CV'. Halafu jaribu kuifanyia mapinduzi CV yako kwa kufuata tips utakazozipata. Pia, mpe CV yako mtu mmoja wa karibu ambae labda ni HR au ana uzoefu mkubwa kwenye career yake na mwambie aingalie na akushauri aiweke vizuri na akushauri zaidi how to improve it.Pia, jitathmini jinsi unavyoandika barua zako za application za kazi. Google 'how to write eye catching application letter'. Ujue siku hizi elimu nyingi iko at the tip of our fingers, just a click or two clicks away!!
Pia, vijana wengi huwa wanakosea unakuta mtu ana CV moja kila kazi anayo apply anatuma tu hiyo hiyo!! That is very wrong, kila application unayotuma inabidi ui-tailor ur CV to suit the requirements za hiyo kazi unayoomba!! Ideally, uwe na soft copy ya 'back bone of ur CV, ambayo kila kazi unayotaka ku apply unai edit, na kuongezea nyama nyama kwa kadri za requirements, na job description ya hiyo kazi unayoomba!!
All the best mkuu, naamini ipo siku pia utafanikiwa!!
sandraeli