Tatizo ni ushabiki wa Vyama...CCM wako kichama zaidi Bungeni badala ya hoja...Sheria ya Mifuko ya Jamii ilipitishwa na Bubge kwa sababu ya uwingi wa Wabunge wa CCM na ndio walioipitisha...
Tunaposema ilipitishwa na Bunge naomba tunarrow down tukumbuke kuwa wabunge wengi wa upinzani hasa CHADEMA...
Mkutano uko Dar, Mbowe na Slaa wanatoka Kask, Marando ni Kanda ya Ziwa, Zitto Kanda ya Magh, Lisuu kanda ya Kati,Arfi ni kutoka Nyanda za Juu,,,,na wengine wengi mchanganyiko, still unaongelea ukabila....SHAME UPON YOUR FACE
Duh, jamani muacheni Mheshimiwa Nassari achape kazi.....that waz politics also na ametoa maelezo ya kufafanua nini alimaanisha kwa hatuba ile.....Hata hivyo maelezo yake yamefikishwa kwa DPP kwa hatua zaidi....naamini hana Kessy ya kujibu....ni mizunguko tu ya Chama Tawala katika kuelekea kufa
This is the problem of Tanzania Artists.....kavaa nguo haimtoshi na inawezekana si yake, ukute kaenda Posta wahindi wakaomba avae ili kuwatangaza,,,matokeo ndo hayo (inamtela)....To me kuacha chuchu si tatizo naamini wewe uliyetuma thread unamuona sana Rihhana...kumbuka hatuko ndani ya yai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.