iseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hawa wabunge hawatakiwi kabisaa
shame on them
Ndio maana watu huwa wanajitoa muhanga ..
bahati nzuri mi ninayo..hii hapa..hicho kipemgere cha kuzuia mafao ya wafanyakazi kimechomekwa baada ya sheria kupita
bahati nzuri mi ninayo..hii hapa..hicho kipemgere cha kuzuia mafao ya wafanyakazi kimechomekwa baada ya sheria kupita
Kwa Bunge lilivyosasa si sheria zote zinazopitishwa Bungeni wabunge walikubaliana nazo bali wanatimiza wanachotaka watawala. Kwa hii sheria ya mifuko ya jamii tutahitaji HANSARD ili kila mwanajimbo ajiu mbunge wake alichangia nini. Mlioko mjengoni tunaomba HANSARD za mjadala wa sheria ya mifuko ya jamii
Ililetwa baadaya ya kujadili ule mswaada wa marekebisho ya katiba wabunge wa upinzania walielekeza nguvu zao kwenye huo mswaada na huu wa pension wakaelekeza less effort magamba wapiga bao la kisigino chezea ccm weyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeItakuwa sheria hii ililetwa wakati wa kujadili posho zao. Jazba ikapanda wakapitisha miswada mingine kama bila kusoma! Wahunia tumbo hao.
Nimejaribu kutafuta muswada uliokuwa uanajadiliwa sikufanikiwa. Labda huo ungetupatia mwanga wa kilichopitishwa.Jamani nimetumia masaa mawilii kuisoma tena ile Hansard ya bunge iliyopitisha huo mswada.
HAKUNA kipengele kilichosema mwanachama asiruhusiwe kuchukua mafao yake, wabunge hawakupitisha sheria hiyo.
Nakubaliana na mdau Edson na REMSA kipengele hicho kilichomekwa baada ya bunge kupitisha.
kama kuna Mbunge yeyote mzalendo anasoma hii thread naomba hiyo saa7 aliseme hili. SSRA wameitapeli Bunge na Wananchi kwa ujumla.
Lakini najiuliza Mheshimiwa rais aliwezaje kusaini kitu ambacho hakijapitishwa na Bunge?
uchache wao hauna madhara kama tunavyofikiria,mbona hoja ya katiba mpya ilipita? cha msingi wao watoe kilio cha haki then wananchi tuitikie hicho kilio tuone kama huo wingi wa ndio utashindana na umma.Tatizo ni ushabiki wa Vyama...CCM wako kichama zaidi Bungeni badala ya hoja...Sheria ya Mifuko ya Jamii ilipitishwa na Bubge kwa sababu ya uwingi wa Wabunge wa CCM na ndio walioipitisha...Tunaposema ilipitishwa na Bunge naomba tunarrow down tukumbuke kuwa wabunge wengi wa upinzani hasa CHADEMA na NCCR hupinga ila uchache wao unawaponza,,,sasa unaweza ukaona madhara yake
Soma post number 108 huo mswada umewekwa. Maswala ya pensheni yameanza kujadiliwa kuanzia ukurasa wa55.Ccm hawawezi kudai hoja ni yao wakati ndio waliopitisha hoja hiyo mwezi wa nne,huu ni uhuni na wanataka waonekane wapo makini ilhali ni wasaliti wakubwa kwa wananchi.
Afu weye leo umenifanya niianze siku yangu vibaya....