Recent content by Emtafya

  1. E

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Anayetongoza na anayekubari hali wote wanajua wanamilikiwa wamekosa hekima na busara kuheshimu Ndoa zao. Usipo jali yako utajali ya nani????
  2. E

    Waziri Mkuu aagiza Mtwara kuchunguzwa kwa matokeo mabaya ya kidato cha pili

    Shule nyingi hazina walimu wakutosha. Mitihani yenyewe machagilio mpaka hisabati. Kidato cha kwanza watoto hupelekwa baadhi hawajui hata kusoma. Kwa matokeo ya kidato cha Pili kuwa mazuri ni mipango, miundo na mifumo
  3. E

    Tiba ya fangasi kwenye ulimi

    Nashukuru kwa ushauri
  4. E

    To let go is weakness, to hold on is maturity

    Let it go if is not right to you.
  5. E

    Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

    Alipe tu hajui penzi la dhati ye anataka ahudumiwe na asicho miliki.
  6. E

    Tiba ya fangasi kwenye ulimi

    Ahsante sana kwa ushauri.
  7. E

    Tiba ya fangasi kwenye ulimi

    Nina mtoto ana miaka 18 sasa. Toka akiwa mtoto anasubuliwa na fangasi wa kwenye ulimi. Yaani ulimi unakuwa unachanikachanika na wakati mwingine hawezi kula kabisa na anahisi maumivu Makali. Nimempeleka hospitari nyingi kila wakipima wanasema ni fangasi. Shida ni dawa sahihi ya kutibu. Dawa...
  8. E

    Ushauri juu ya marumaru (tiles )

    Ni Sh 5000 Kwa Square Meter ikiwa ni pamoja na scatting.
  9. E

    Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

    Penda kupenda, usipende kupendwa. Ni bora kutoa kuliko kupokea
  10. E

    Nipo chuo mwaka wa pili,nasomea ualimu wa sanaa,nataka kuacha chuo

    Some thing is better than nothing. Hakuna tamko lililotoka kuhusu kuyafuta masomo ya sanaa nchini.
Back
Top Bottom