Nina mtoto ana miaka 18 sasa. Toka akiwa mtoto anasubuliwa na fangasi wa kwenye ulimi. Yaani ulimi unakuwa unachanikachanika na wakati mwingine hawezi kula kabisa na anahisi maumivu Makali. Nimempeleka hospitari nyingi kila wakipima wanasema ni fangasi.
Shida ni dawa sahihi ya kutibu. Dawa nyingi ametumia hazijamsaidia. Msaada tafadhari.
Shida ni dawa sahihi ya kutibu. Dawa nyingi ametumia hazijamsaidia. Msaada tafadhari.