Recent content by Emmanuel_mtui

  1. E

    Nina swali

    Ndiyo, katika tunda/ ndizi yenyewe ina mbegu ndogo ndogo katikati , ukucha ndizi iliyo komaa vizuri unaweza kuziona,
  2. E

    Kupaua nyumba

    Haya kaka ulilosema ni kweli , nitafute uoene kazi bora,
  3. E

    Kupaua nyumba

    ukisha maliza kupaua niite nikufanyie kazi, ya bomba, Plumbing work. Namba yangu ni 0754412514:
  4. E

    MAISHA PLUS, realy African Culture.

    Wadau huu ni kurasa wa Great thinker let me Add with opinion, kwa pamoja sijui niite vipi au nisemeje natamani kuchangia kwenye MAISHA PLUSS, project naona changamoto zao kwa uasilia
  5. E

    Hahahaa GAZETI BORA LA MWANANCHI

    Ni nini ni nini? Mwananchi nini na ukweli nini? Hii ni nchi yetu, Na hapa ni ninyumbani kwetu, pamoja kama MAISHA PLUSS, Watz Tuamke.
  6. E

    Mtanzania kupanda Ulingoni huko Kabul Afghanistan leo!

    Wadau na watanzania wate ni wajibu wetu, kujiuliza wajibu wetu nini, kwa amani, na nini maana ya amani . Watanzania tuonyeshe uzalendo kumuunga mkono mtz wenzetu kwenye michezo, nawasilisha
  7. E

    Tanzia

    Amumzike kwa amani, na Mungu awatie nguvu ndugu na jamaa wote wanaohusika kwa namna yeyote na msiba huo
  8. E

    Kwa mwenye ufahamu juu ya hili,naombeni msaada

    WMA. Tanzania weight and measure agency.
  9. E

    Ukweli vurugu Mbagala si dini bali ujinga na umaskini

    Wanaharakati wote na wote wanaokubali ukweli hata kama hawapendi watakubaliana na mimi kuwa yaliyotokea mbagala dar tanzania ni mambo ya kutengenezwa na baadhi ya watu kwa labda kwa uelewa wao mdogo au kwa imani ya tamaa fulani fulani. Kwani kwa watanzania wa leo huwezi kuniambia eti tukio lile...
  10. E

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Igajinsi ya kutafuta, usiige matumizi.
  11. E

    Damian Kanuti wa ITV afariki dunia

    Oh, All,might God rest his soul in iternal life,
  12. E

    Dk. Mwakyembe awapa polisi siku 14 kuwataja polisi wezi wa mafuta

    Jamani kuna tetesi polisi wawili na raia wawili waliohisiwa au waliokua wanahusika na mtandao huo wameuawa na mmoja wao alizikwa jana, alikuwa anaishi opp. Na temeke hospital
  13. E

    Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

    Achana na mambo hayo, mdau kama hutaki kujua au kufahahamu ukweli, Maswali kwako ni Je umewahi kuwa mwana usalama? Na kama ndiyo ulijifunza nini kuhusu propganda,? Na kama bado huwezi kujiita mwanaharakati, naoomba ujiite muumini. Nawasilisha
  14. E

    STAR TV, Je hawatangazi matokeo ya ligi kuu?

    ligi kuu bongo, kwani leo nilikuwa mahali naangali habari za michezo kupitia star tv, nilichoona ni kujitete kwa refa wa mtibwa kana kwamba hakuna mechi zilizoendelea.
Back
Top Bottom