Dk. Mwakyembe awapa polisi siku 14 kuwataja polisi wezi wa mafuta

Jamani viongozi wetu jaribuni kufunguka kwa kuwa wakweli na wawazi! Kama kweli mtu unamjua mbaya wako aliyetaka kukuua na ushahidi upo kwa nini unaogopa kumsema au kumtaja ili achukuliwe hatua? Au nanyi mnataka kulipiza visasi kimya kimya?

Dr. Mwakyembe na Dr. Ulimboka wanatakiwa kuuambia umma wa watanzania nini kilichowasibu. Kukaa kwao kimya bila kusema kitu cha kuwapa imani wananchi kunasababisha watu kusema mambo mengi hata wakati mwinginie kutukana kama walivyofanya wachangiaji wengine katika thread hii.

Kwa nini mnakaa kimya mmefungwa midomo msiseme mmepewa nini? Kumbukeni sala za watu kwenu kwa yaliyowapata, michango (hata kama pesa zilitoka serikalini ni mali ya watanzania), upendo na uzalendo wao kwenu. Mnataka waseme au wafanye nini ili mujue hawayapendi mambo yaliyowasibu?

Dr Ulimboka ndio kawa kimya kabisa! Hasikiki kanisani wala kwenye vikao vya moja moto, moja baridi na nyama choma. Vitabu Vitakatifu vinatuambia tusiseme uongo. FUNGUKENI.
 
Yani tungekuwa na kina mwakyembe 100 ndani ya tz...tungekuwa mbali. Congrats Dr...najua una usongo nao sana kwani ndio waliokuwekea sumu
 
Jamani kuna tetesi polisi wawili na raia wawili waliohisiwa au waliokua wanahusika na mtandao huo wameuawa na mmoja wao alizikwa jana, alikuwa anaishi opp. Na temeke hospital
 
Mh mwakyembe amesema kama mh igp mwema na kova amtowataja hadharani wahusika wa wizi wa mafuta bandarini na kuwashugulikia basi kazi hiyo nitaifanya baada ya wiki mbili na kuweka hadharani
siwezi kuona wezi wahalifu na ni polisi wa kulinda raia leo wanakumbatiwa kama watoto wa changa alilalama mh mwakyembe...


Ndugu zanguni nawambia sipepesi macho wala kumumunya mdomo nimewapa igp wiki mbilia ama awataje hadharani na kusema wamechukua hatua gani kama wataendelea kuwakumbatia kama wauwaji wengine wa mikoani basi mimi nitakuwa wa kwanza kuwataja na siogopi kufa walitaka kuniua siku nyingi mungu akanipitisha kwenye moto wa daniiel..sasa basi naawaambieni ujing mliokuwa mkifanya zamani sasa basi tunataka kazi kama mmeiba amjafanikiwa sahauni kuiba tena ...nitapiga kazi nitakaa na wale wanaotaka kufanya kazi tu alisema hon mwakyembe

Pdidy,
Achana na mwakyembe, ni mnafiki sana. Alimsaliti mnafiki mwenzie Sita: Wakati Sita anadai mwakyembe amepewa sumu mwakyembe aliporudi toka India akakataa kutoa au kuthibitisha kauli! Kama anayosimulia kwa wananchi ni ya kweli huko kwa magamba anafanyanini? Watu wanataka kumuua ye anaendelea kufanya nao kazi!
 
pdidy,
achana na mwakyembe, ni mnafiki sana. Alimsaliti mnafiki mwenzie sita: Wakati sita anadai mwakyembe amepewa sumu mwakyembe aliporudi toka india akakataa kutoa au kuthibitisha kauli! Kama anayosimulia kwa wananchi ni ya kweli huko kwa magamba anafanyanini? Watu wanataka kumuua ye anaendelea kufanya nao kazi!


sasa jamani hatakama kachunguzwa akakutwa hakupewa sumu...akubali tu kuwa kapewa sumu.....
Sitta mlopokaji mwakyembe kamsoma kaona mbali sana na kuona mh. Six mlopokaji ambaye anamsaada wowote bali kujenga chuki....
Mwacheni dr. Achape kazi. Policcm wamezidi....
 
Back
Top Bottom