Recent content by Emmanuel Adam14

  1. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Tafakuri

    Ni wajibu wako kutafuta ukweli acha kusingizia mazingira!
  2. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Wanaume pitieni hapa kuna kikao

    Kikao kina bia!?
  3. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??

    Kuifanya iwe sehemu salama ya kuishi kwa binadamu wengine wanyama na mimea.!
  4. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna mkopo riba nafuu dhamana kikwanja

    Ni changamoto kubwa saana kwenye jamii yetu.!
  5. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna mkopo riba nafuu dhamana kikwanja

    Sasa si bora auze kiwanja kama kina dhamani ya hiyo 5m then aingize kwenye biashara kama ana uhakika nayo.!
  6. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisikii mashindano ya Mr. World kama ilivyo Miss World? au dunia haitambui uzuri wa mwanaume

    Mashindano yetu yapo sema ni ya kimyakimya kimafanikio lakini!
  7. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Are you living or Just surviving?

    Wewe ishi tuu swala la furaha au kufurahia maisha ni matokeo ya vile utakavyo ishi !
  8. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Yesu anasema hatokunywa Pombe ya Duniani anasubiri pombe ya peponi

    Kama nakuona vile mkemia mkuu.
  9. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

    Ukiona hivyo Sio lazima kutoka.!
  10. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Serikali Inatuandaa Tuwe Watu wa Design Gani?

    Elimu yetu imejikita kwenye kukariri badala ya kutengeneza wabunifu. Miradi mingi tunayotekeleza ni ya “kupokea” — si ya “kubuni.” Tunapewa mikopo, hatuundwi kuwa wabunifu; tunafundishwa kutumia, si kutengeneza. Kama taifa, inaonekana tunaundwa kuwa watekelezaji wa maagizo, si wabuni wa...
  11. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Hivi nani ni Polisi wa Polisi!?

    Ni nani anayechunguza polisi anaponyanyasa raia? Ni nani anayemhoji polisi anapopoteza ushahidi au kupokea rushwa? Ni nani anayemwambia polisi kwamba “hapo umevuka mipaka”?
  12. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Tusiache kupambana watoto wanatuangalia

    Inatubidi tubadilike!!
  13. Emmanuel Adam14

    JamiiForums Tanzania Tusiache kupambana watoto wanatuangalia

    Wazazi, walezi na watu wote wenye familia lazima tukumbuke kitu kimoja cha msingi: watoto wetu hawatusikilizi tu, wanatuangalia. Wanachunguza kila hatua, kila maneno, na kila namna tunavyokabiliana na changamoto za maisha. Tunapovumilia matatizo, wanajifunza subira. Tunapopambana na hali ngumu...
Back
Top Bottom