Emmanuel Adam14
Member
- Jun 19, 2014
- 54
- 100
Ni nani anayechunguza polisi anaponyanyasa raia?
Ni nani anayemhoji polisi anapopoteza ushahidi au kupokea rushwa?
Ni nani anayemwambia polisi kwamba “hapo umevuka mipaka”?