Wapi kuna mkopo riba nafuu dhamana kikwanja

Wapi kuna mkopo riba nafuu dhamana kikwanja

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,465
Reaction score
3,979
Tafadhali ninae rafiki anauliza ni kampuni gani anaweza akapata mkopo wa milioni 5 marejesho miezi 36 dhamana kiwanja.

Yeye sio mtumishi amejiajiri. Mwenye maoni karibu
 
Kama kiwanja kina hati anaweza kuingia bank .. Lakini pia atatakiwa kuwa na kipato kinachozidi hiyo pesa kwa mwezi na awe na biashara halali yenye vibali
Mkopo atakaopatq ni wa miezi 6 au 12
 
Kama kiwanja kina hati anaweza kuingia bank .. Lakini pia atatakiwa kuwa na kipato kinachozidi hiyo pesa kwa mwezi na awe na biashara halali yenye vibali
Mkopo atakaopatq ni wa miezi 6 au 12
Anasema ni hati ya mauzo
 
Arusha sehemu gani tuongee biashara?
 
Kama kiwanja kina hati anaweza kuingia bank .. Lakini pia atatakiwa kuwa na kipato kinachozidi hiyo pesa kwa mwezi na awe na biashara halali yenye vibali
Mkopo atakaopatq ni wa miezi 6 au 12

Mkuu benki hatopata, benki hawatoi mtaji wa kuanza "initial capital", wanatoa hela kukuza/kuendeleza mtaji "working capital development".

Wataanza kumwambia apeleke mauzo, akaunti inayozunguka n.k
 
Sema ni wewe tu ..... kwani kukopa ni shida ? Hata kina Mo , bakhresa wana mikopo.......

Wabongo bwana, mtu akionekana amekopa au anataka kukopa ni kwamba kachoka ! Tubadili uelewa

Kwa nini umsingizie rafiki ?

Back to the topic, kwa case yako ni ngumu kupata mkopo, may be uwe na hati halali ya kiwanja, then hela unayokopa iwe na thamani pungufu ya hicho kiwanja
 
Ni changamoto kubwa saana kwenye jamii yetu.!
Kama mtu anakowekeza ana uhakika kwanini asiuze Mali yake akawekka huko? Si ndio faida ya kumilki ardhi? Lakini atafhukua mikopo wa 5M ambao kwa miezi 36 atajikuta anatakiwa kurejesha 8M na itamshinda atauza kiwanja kwa shida na aibu
 
Nauza freezer Lita 100 unamiezi sita 300000,, au kama kunamtu anakopesha ninashida na laki mbili
 
Back
Top Bottom