Recent content by emmanefarms

  1. E

    JamiiForums Tanzania Google adsense inauzwa

    Weka bei hapa km hutojali.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini leo ni birthday ya Kalapina

    Harakati
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimemsaliti mpenzi wangu sasa roho inaniuma hadi nakosa amani

    Acha upoyoyo,mkeo anajua kuwa unacheza mechi za nje,cha msingi asipate ushahidi,akijua utakua bonge la fala.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya Rais Kikwete inaongea mengi...

    Great man.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Kwa hiyo unaandika under the influence of the Holy Ghost[emoji33][emoji33]
  6. E

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Kwanini aende jela wkt amepata pa kuanzia,he has a chance to play both sides akapata anachokitaka,plus msaada wa isaac,the bold fikiria tena,ray ana alternative,hakuna haja ya kumpeleka jela,unless unataka kutunyima utamu wa Cheupe[emoji2] [emoji2]
  7. E

    JamiiForums Tanzania Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Nimependa ulivyonifanya niguess baba bite yuko upande gn,nzuri sana.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nauza matetea ya mbegu

    Habarini wadau wa ufugaji,nauza kuku matetea wazuri kwa ajili ya mbeg,umri kati ya miezi 5 hadi mwaka,bei 15,000 maongezi yapo,wanapatikana mbezi louis,dar.
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba kutembea na beki tatu ni haki yake

    Kama ni hivyo biblia isingesema mwanamume atawaacha baba na mama yake ataambatana na mkewe nao watakua mwili mmoja. Pili Yesu aliwaambia wayahudi kuwa Musa aliwaruhus kuoa mke zaid ya mmoja sababu mioyo yao ni migumu.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Km egyptians were black bs na israelites walikua black,km mmesoma kitabu cha Exodus,musa alivkua jangwani mabinti wa yule kuhani walipomwona walidhani musa ni egyptian,kwa maana hiyo musa alikua black,kwa sababu kwnn wadhani yeye. I mmisri km alikua white!?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

    Archaelogists wameshindwa kuthibitisha kuwa kuliwahi kuwa na mfalme anaitwa Daudi Israel na kuwa alikua na ufalme wa level zile,hiz ni habari za kusadikika tu. Sasa kwnn tunashindwa amini za kwetu.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

    Kamanga bay,yaani tz hatuna tu kumbukumbu za kutosha,lkn Kamanga ni babu wa bibi yangu mzaa mama,nachojua khs yeye ni kidogo mno. Bibi aliwahi kunisimulia kuwa Kamanga aliota kifo cha gavana wa Uingereza wakati huo akamtuma rafiki yake akamwambie gavana,huyo rafiki yake kufika akakuta watu wana...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

    Naambiwa na yeye alikua mwonaji.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Inasemekana alexander the great alivoenda egypt akakuta milima ina sura nyeusi akaghadhibika ndo akavunja hizo pua akazichonga tena.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

    Kuna mmoja anaitwa Kamanga alikua mwanza unajua habari zake?tujuze tafadhali.
Back
Top Bottom