Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mimi ni mmoja wao na kile kingine kinaitwa utata wa9/12
 
Uwiii halafu nilikuwa hata sijfahamu kama nimetuma hyo namaba. Nisameheni bure hz smart phone ni majanga. Msije msumbua mwenye namba maana hata sijui ni ya nani. Hata ukuiniuluza nimwtumaje hyo namba sifahmu.
Eeeerrh!! Mpaka unaandika tarakimu zote kumi ulikuwa unawaza nini?

Wacha kutuzingua !
 
Wakuu,

Mu wazima natumai..

Kwanza mniwie radhi kwa kuwakatisha uhondo kwa siku ya leo.. Nilikuwa na changamoto fulani hivi iliyokuwa inanilazima niwe na utulivu na concentration ili kuiweka sawa!

Nashukuru kwa wale wote ambao mmeelewa na kunitakie heri changamoto ikae sawa.! Asanteni sana..

Pia, ingawa hakuna umuhimu lakini naomba pia niwajibu wale ambao walikuwa "negative" juu ya taarifa iliyoletwa na roho yangu, Nifah

Mkuu, TUJITEGEMEE, naona hii mara ya pili unatoa comment kama hii mara ya kwanza ilikuwa ni siku nilichelewa kuweka episode kwa takribani dakika 40 nje ya muda na ukakosa uvumilivu na kusema kitu kinachofanana na ulichokisema leo.. Mimi niwe wa kwanza kupingana na wazo lako kwamba nisitishe simulizi kwa wiki tatu niandike kisha nianze kutupia episode! Wazo lako haliko sawa.. Tafakari utaelewa kwanini haliko sawa..

Mkuu wise-comedian, nilitaka kuanzisha mtiti huo ugomvi wake ungetafuta pa kujificha, ila baada ya kuona comment yako ya pili, nimecheka tu nimeelewa kwanini unajiita "wise-comedian"... No hard feelings

Mkuu Fasir, aisee naomba uwe na adabu na acha kutuchafulia uzi.. Mimi huwa mvumilivu sana lakini upuuzi kama huu wako hautakiwi kuachwa bila kukemewa..
Kuwa na adabu na jitahidi kuficha upumbavu wako.. Nifah ameleta taarifa kwa nia njema tu na actually ni mimi ndiye nimemuomba alete taarifa hii.. Unapomvunjia heshima yeye unanivunjia heshima na mimi.. Tuko kwenye huu uzi kwa ajili ya burudani na labda kujifunza mawili matatu.. Huu sio uzi wa mipasho hivyo narudia tena jitahidi kuficha upumbavu wako..
Unafahamu nini kimenipata?? Nilikuwa sitaki kusema hili ila wacha nikuulize, unafahamu nani aliyeniamuru nibadili majina ya characters??
Huyo Nifah unaye mkejeli unafahamu amesimama na mimi kiasi gani katika katika masuala yangu yote katika maisha halisi huku mtaani?? Narudia tena na tena, ficha upumbavu wako na jiheshimu..

Mwisho,

Niwashukuru wote mlioelewa na kuvumilia... Na nimshukuru "cheupe wangu" Nifah kwa role kubwa anayoplay kila mahali.! Yeye ndiye aliyenishawishi niwaletee simulizi hii, sikuwa na mpango wa kuiweka humu..
She is the most awosome woman I have never seen.. Tunalia pamoja, tunacheka pamoja, na tunafanikiwa pamoja.. I'm the luckiest man on earth..

Nawashukuru sana wakuu..

Kesho jumapili mchana Episode 6 inakuwa hewani..


The Bold.
Pole kwa maswaibu......by the way mi sioni shida hata ukikawia kuleta kwani tunakulipa?
Hilo la kubadili majina ya wahusika ni kweli aisee maana yalikuwa wazi na direct sana kama vile unaongelea watu fulani katika jamii
Duh hivi kumbe we na Nifah ni kiukweli ukweli.....duh Hongera!!

Kila la heri mkuu ukipata wasaa iweke ila si kwa mashinikizo ya humu we ukiwa na nafasi muda utakaotaka wewe!!
 
2D seismic data.Asante kichwa umegusa kwenye field yangu geology/geophysics.Ingawa siku hizi 3D and 4D ndo zinatumika sana kufanya seismic data interpretation."seismic stacking velocity" uko deep sana The bold Mungu akubariki.
 
I salute you the bold..

Ila nimependa kitu kimoja tuu katika hii episode...

Kuna ubaya kwenda duka la scolastica kununua novel...?

Mimi napenda sana novel mkuu..,nadhani kesho nitapita na buku 2000 pale scolastica
 
Itaendelea leo saa mbili usiku..

Mkuu msalimie Dada yangu Nifah!

Jana alikuwa na hasira hata sikutaka kumsemesha! Awapuuze members wengine !ndivyo walivyo mioyoni mwao..

I hope she is doing alright!!
 
I salute you the bold..

Ila nimependa kitu kimoja tuu katika hii episode...

Kuna ubaya kwenda duka la scolastica kununua novel...?

Mimi napenda sana novel mkuu..,nadhani kesho nitapita na buku 2000 pale scolastica


Unampa elfu mbili alafu akikwambia hela haitoshi unamjibu "kuna hela yangu iko hapa"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom