Recent content by Emmajac

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Kiinimacho cha Muungano

    tungepata na views za kesi ya Hamisi Mcharo vs smz.....is zanzibar a state?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2015

    kuna kila haja na kuifanyia mabadiliko sheria ya gharama za uchaguzi (Election Expenses Act 2010) kabla ya 2015 election. kwa wale walio soma sheria hii watakubaliana na mimi inamapungufu makubwa sana na ina kilinda chama tawala. Maoni yenu yatasaidia kuandaa comments ambazo zitakuwa forwarded...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kibonde aiponza Wizara ya Habari utamaduni na Michezo

    Clouds FM, inavijana waliokimbia shule elimu yao haiendani na profession wanayofanya ni sawa na kijiwe cha mateja coz maongezi yao hayana tija wala mantki, so lets not take them serious its not among the media in Tz in the sense of a real media
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kibonde aiponza Wizara ya Habari utamaduni na Michezo

    Hebu tukumbushane CV ya huyu kibonde...si bure akaitwa kibonde
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Joshua (mkenya wa kova)

    Tamuchungu ajali ya meli haiwezi kuzuia justice isifanyike and it can never be used as a cover. tunasikitika kwa yaliyo wapata ndugu zetu but we still ahve to seek for justice. Unachotaka kusema leo likitokea janga lingine tusahau ya meli kuzama? Elimu yak haitoshi au haikusaidii kufikiria kwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Madaktari waliofukuzwa waula Namibia, Botswana, Rwanda na A.Kusini

    webondo namwenzio hamna akili, mimi nasikitika sana there are no enough doctors na serekali is just sitting. imeshindikana nini kuwaongeza mshahara na marupurupu. this is crazy
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Mwigulu Nchemba kuhusika na EPA huu hapa

    MUSOMA kweli umechanganyikiwa....Mwigul, Nape na January ni hazina ya viongozi wajao kweli? go and rethink again and again.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kuna nini uwanja wa Ndege Kilimanjaro?

    mnakumbuka ule wimbo TANZANIA! TANZANIA! NAKUPENDA KWA MOYO WOTE..... and bla bla bla. nauchukia kupita maelezo this country is f####d
  9. E

    JamiiForums Tanzania Jamani Angalieni ITV...

    hilo ni tatizo la hearsay huyo kijana inaonekana hana elimu labda arudi shule au akawadanganye washkaji zake kijiweni...u cant go live on TV and talk such upuuzi
  10. E

    JamiiForums Tanzania mnyika muulize lema

    kwahiyo unachotaka kusema dogo CCM wanatumia madaraka kukandamiza upinzani? tulumbane kwa sera sna hoja siyo kwakutumia dola kukandamiza upinzani. 2015 CDM ndani ya mjengo na hatuta lipa kisasi ila mafisadi tutakula nao sahani moja tutahakikisha kila senti ya kodi ya mwananchi inarudi
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nani aliyewaroga wabunge wa CCM kama huyu mheshimiwa?

    lets hope sala yako itafanya kazi kwani tunapoelekea ni pabaya
  12. E

    JamiiForums Tanzania Profiles za majaji wapya

    mmoja alikuwa principal wa Law school of Tanzania na kabla ya hapo alikuwa akiifundisha chuo cha Hija na pia amewahi kuwa Hakimu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM kata ya Olasiti akataa msaada wa madawati, awatimua waandishi wa habari

    Ina depend na masharti yaliyo ambatana na msaada huo...umesahau mla uliwa
Back
Top Bottom