Jamani Angalieni ITV...

Jamani Angalieni ITV...

huyu ba ndugu mara ya mwisho kumfahamu ilikuwa mwaka 03 akiwa benjamin mkapa high skul na hakumaliza advance alikuwa busy kuanzisha NGO yake,kwa kumfahamu hv nadhani IQ yake ndogo na shule hakuna km sivyo abishe
 
HAMPHREY POLEPOLE.
Mkurugenzi mkuu wa TANZANIA YOUTH COALITION.
Ni NGO iko k'nyama dsm inayodai eti kuunganisha vijana wote tz.
Hawa jamaa ni pro-magamba mpaka wanaboa.
Ukitaka kushirikiana nao ni mpaka uwe pro-serikali ya magamba kama wao.
Wanaboa sana. Ni vijana lakini bado hawajafunguka ki-mtazamo.
Sijui ni vijana gani wanaowawakilisha, but it is very sad kwamba hawa ni stambling block against youth development in the country.

They disappoint alot.

Not only they are disapointing a lot but also 'disapointing lot' to our society!
 
Huyo kijana atakuwa anaatatizo ya akili


teh teh teh teh, kumbe U knw da guy, kweli ndivyo alivyo, me nilisoma nae" Mbuyuni primary" pale, alikua anatumiwa sana na walimu,. So ni mtu wa kutumiwa always! Nasihi ni gamba jingine linalochipukia..

Anawakilisha. Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba. Fuatilia KIPINDI CHA TBC1 " LULU ZA KISWAHILI" ameitwa kuelezea umuhimu wa kiswahili katika mchakato wa Katiba Mpya.

"Leo Saa tatu na usiku (3:30) nitakuwa TBC1 kwa kipindi cha Lulu za Kiswahili nikizungumzia "nafasi ya Kiswahili" katika Mchakato wa kupata Katiba Mpya. Karibuni sana. Toa Maoni, Tupate Katiba Mpya
https://www.facebook.com/hpolepole

525690_10150668659944135_624870581_n.jpg
 
Kuna kijana anaitwa Humphrey Polepole anaitetea serikali kwa njia ya mzunguko. Anasema si wajibu wa serikali kutoa ajira na Makampuni makubwa ya ndege duniani si ya serikali.

Mtu aliyefeli form IV,lakini hata ivo kikwete akamjalia nafasi kwenye tume ya katiba..aseme nini zaidi huyu humphrey zaidi ya kulamba miguu ya m*kwere??
 
Anawakilisha. Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba. Fuatilia KIPINDI CHA TBC1 " LULU ZA KISWAHILI" ameitwa kuelezea umuhimu wa kiswahili katika mchakato wa Katiba Mpya.



525690_10150668659944135_624870581_n.jpg
Nashukuru ,natoa ahadi kuwa nitaanza kufuatilia nijinoe zaidi
 
hilo ni tatizo la hearsay huyo kijana inaonekana hana elimu labda arudi shule au akawadanganye washkaji zake kijiweni...u cant go live on TV and talk such upuuzi
 
Nchi ya kila mtu kuishi kiunajanja ijanja na mission town ndio hii, professional za watu haziheshimiwi., matokeo yake ndio hayo.kijana anajiona mjanja
 
Back
Top Bottom