TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 272
wanampa promo yule lofa
hajasema hadharani we umejuaje au we ni mkewe
Wana JF kutokana na maneno aliyotamka mtangazaji mwandamizi wa kituo cha Radio mawingu(CLOUDS FM)Ephraim Kibonde katika kipindi chake cha Jahazi kuwa"Wabunge kutoka nje baada ya kukataliwa na Spika ni Utovu wa Nidhamu,:Kauli hiyo imekuwa chungu sana Maskioni mwa Wabunge ambao wamepanga Kuikwamisha bajeti ya Wizara hiyo hadi hapo atakapoomba msamaha,pia kitendo cha TBC kupika habari kimewakera wabunge wa CUF
Chanzo Mbunge
Kibonde ndo nani tena? Ni mbunge wa wapi? Mtera?
Media zinahaki ya kutoa opinion zao independently kwa kila tukio whether muhusika ni raia,rais mbunge ama yeyote,hawa wabunge sio malaika kiasi kwamba tusiwaseme wanapokurupuka,kama wamefikia kuapa kukwamisha bajeti kwasababu za kipuuzi na personal conflicts ni indicator kua wamepoteza focus na hawafanyi kilichowapeleka bungeni,hatukuwatuma kufanya upuuzi na kuanzisha mapambano na kila wasiempenda
Wana JF kutokana na maneno aliyotamka mtangazaji mwandamizi wa kituo cha Radio mawingu(CLOUDS FM)Ephraim Kibonde katika kipindi chake cha Jahazi kuwa"Wabunge kutoka nje baada ya kukataliwa na Spika ni Utovu wa Nidhamu,:Kauli hiyo imekuwa chungu sana Maskioni mwa Wabunge ambao wamepanga Kuikwamisha bajeti ya Wizara hiyo hadi hapo atakapoomba msamaha,pia kitendo cha TBC kupika habari kimewakera wabunge wa CUF
Chanzo Mbunge
Nitajua hao wabunge wako serious siku nikiona wana ikwamisha bajeti hiyo kikweli!
Huenda huyu mpumbavu akajua kuwa redioni si mahali pa kutafutia bwana!