Recent content by Emmadogo

  1. Emmadogo

    Leo nitawapa jibu la kwa nini wanawake wanaojiuza ni wazuri au wanavutia sana na walioolewa ni wanawake wa kawaida tu

    Wanaamini coz ni wazuri then lazima.wapate hao wamaume waliofanikiwa....so unakuta wako 100 wanaume wawili tu.
  2. Emmadogo

    Ulevi wa pombe ni hatari kwa afya yako

    Kitu cha kufurahisha kuhusu Starehe ni kuwa kila mtu anamsimanga mwenzake 1.Mlevi anamnanga mvuta sigara kuwa itamuua 2.Mvuta sigara anatamnanga Mwenda chumvini kuwa si salama 3.Mnywa soda anamnanga Mlevi 4.Mvuta kiko anamnanga mvuta sigara 5.Muhongaji anamnanga AnayeBET 6.Mzinzi anamnanga Mlevi...
  3. Emmadogo

    Libya: Mtoto wa Gaddafi kugombea urais mwakani

    Allah sio Mungu aliyeumba hii dunia. Allah ni Mungu wa Wapagani waarabu. Ndio maana mara aseme pigana na wote wasioamini/ mara mpendane waislamu tu msifanye urafiki na watu wa vitabu aka wakristo na waarabu. Wakati huo huo anasema watu wa vitabu watahukumiwa kupitia injili/torati na wala...
  4. Emmadogo

    CHADEMA wakanusha taarifa ya NEC kuwa wamesimamisha mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini

    CCM imewauma upinzani kujitoa. Now mkutano wa CCm wako busy kuwaita dhaifu mara sijui nini ili ti chadema warudi then wawapige mapanga. Nec nao wameingia humo humo inawauma pia chadema kujitoa hii ni hofu tu kuwa watu hawatakuja kupiga kura kutakuwa kweupe na itawaumbua. Maana kununua watu...
  5. Emmadogo

    Viwanda zaidi ya 3000 na vilivyokufa vimefufuliwa. Tupeane taarifa ya viwanda hapo ulipo

    Hata ukihesabu ofisi zote za kubeti tz bado hazitafika 3000 mzee apunguze hizi comedy sasa[emoji1] [emoji1]
  6. Emmadogo

    Dodoma: TAKUKURU imemuachia aliyekuwa Rais wa CWT, Gratius Mukoba bila kumfikisha Mahakamani

    Au siasa iliingizwa ?[emoji3][emoji16][emoji4][emoji3]
  7. Emmadogo

    Ni nani anayehusika na utoaji wa jina la mtoto?

    Tatizo wanawake hawachelewi kumpa jina mtoto wako jina la aliyemtoa bikra. Bora jamaa alivyokaza[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
  8. Emmadogo

    Kwa sura yake ilivyo mbaya, kamwe sitozaa naye.

    Why hukuolewa na hao wazuri??
  9. Emmadogo

    TAKUKURU yautupilia mbali ushahidi ulioletwa na Nassari na Lema wa madiwani kuhongwa

    CCM wameongeza Tawi Jipya[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] Kwahiyo Kesi yoyote ya Rushwa from today mtu akiingiza siasa tu basi hawana time nayo. Nachokushuru ni kuwa hawajakataa kuwa ule ulikuwa ni ushahidi wa Uongo.
  10. Emmadogo

    Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

    Now watu wanapenda nyimbo za matusi tu. Ndio maana na yeye joh kaamua kuuza akili
  11. Emmadogo

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Hili pigo nimelipenda. Nami ningelifanya kama hilo.
  12. Emmadogo

    TAKUKURU yamshikilia aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bwana Gratian Mkoba

    Ha ha yaleyale ya Uvccm kila sehemu anawekwa mamluki
  13. Emmadogo

    Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

    Haina tofauti na Nampa PAPA wa gigi money.
  14. Emmadogo

    Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

    Sasa Ni Come una tofauti gani na "Nampa PAPA wa gigi money" Gigi=Joh
Back
Top Bottom