madabadaba
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 288
- 178
- Thread starter
- #41
Yaani inatesa wengi.Pombe ni janga linalofungiwa macho na watu wengi Ila linaua vijana wengi sana na limeingiza wengi kwenye umasikini mkubwa wengi pia wamepoteza kazi au biashara zimefilisika Kwa ajili yo pombe.ikikukolea ni addiction mbaya Sanaa Ila inavituo vichache vya kusaidia waathirika