Dodoma: TAKUKURU imemuachia aliyekuwa Rais wa CWT, Gratius Mukoba bila kumfikisha Mahakamani

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,036
3,929
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini imemuachia aliyekuwa Rais wa Chama cha walimu (CWT) Gratius Mukoba bila kumfikisha mahakamani.

Kamanda wa Takukuru mkoa wa Dodoma Emma Kuhanga amesema Mukoba hakupelekwa mahakamani kama ilivyotakiwa.

"Hapana hatujampeleka mahakamani, tulishamuachia,....ni hivyo kwamba mahakamani hakupelekwa," amesema Kuhanga

Mwishoni mwa wiki Takukuru ikimkamata Mukoba kwa madai ya kujihusisha na ugawaji wa rushwa kwa wajumbe na alitarajia kufikishwa mahakamani leo.

Alipoulizwa iwapo Rais huyo wa zamani wa CWT ataitwa tena ama taasisi yake imeona hana hatia, Kamanda Kuhangwa amesema "wewe elewa kuwa hatujampeleka mahakamani lakini tumemwachia,"

Chanzo; Mwananchi
 
Mwananchi

Sasa imekuwa ni utaratibu katika chaguzi mbali mbali, wale wanao onekana kutaka kupingana na wagombea wanaotakiwa, hukamatwa kwa mashtaka mbali mbali, halau wanaachiwa baada ya uchaguzi.
 
hii taasis ya ovyo sana tangu ikubali kutumiwa na ccm imekosa weledi kabisa
 
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini imemuachia aliyekuwa Rais wa Chama cha walimu (CWT) Gratius Mukoba bila kumfikisha mahakamani.

Kamanda wa Takukuru mkoa wa Dodoma Emma Kuhanga amesema Mukoba hakupelekwa mahakamani kama ilivyotakiwa.

"Hapana hatujampeleka mahakamani, tulishamuachia,....ni hivyo kwamba mahakamani hakupelekwa," amesema Kuhanga

Mwishoni mwa wiki Takukuru ikimkamata Mukoba kwa madai ya kujihusisha na ugawaji wa rushwa kwa wajumbe na alitarajia kufikishwa mahakamani leo.

Alipoulizwa iwapo Rais huyo wa zamani wa CWT ataitwa tena ama taasisi yake imeona hana hatia, Kamanda Kuhangwa amesema "wewe elewa kuwa hatujampeleka mahakamani lakini tumemwachia,"

Chanzo; Mwananchi
Uchaguzi umeisha na aliyetakiwa kuwa mwenyekiti amekuwa episode umbisha.
 
Lakini hamtaki kutukamatia Mnyeti, haya mambo yana muda tu
Hawawezi mkamata mnyeti maana kwanza ni mtu wa system. Na kazi aliyokuwa anafanya ilikuwa na maelekezo toka kitengoni.
Nadhani naeleweka. Kidumu chama cha mpira cha magogoni
 
ccm inataka yale ya 1977 kila taasisi lazima iwe chini ya kiongozi kada wa ccm ili kutawala na kuamrisha kuwe rahisi kujrenga ngome ya ccm,baada ya matawi matatu ya ccm kuna mawili yameongezwa kwenye jumuia za chama cha mafisadi TFF NA SASA CWT
 
Back
Top Bottom