Recent content by emkey

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pambano la Mwakinyo litapigwa saa ngapi?

    hakuna kiingilio ni miguu yako tu.
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pambano la Mwakinyo litapigwa saa ngapi?

    itakuwa kuanzia SAA 1 usiku na kuendelea.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki sasa ameamua kuokoka...anaimba nyimbo za dini

    Dogo fiksi tu. W
  4. E

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki sasa ameamua kuokoka...anaimba nyimbo za dini

    Uongo mtupu.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya wilaya inakosa japo panadol!

    Habari wadau. Wiki 2 zilizopita nilimpeleka mke wangu hospitali wilaya ya kilwa kujifungua, cha ajabu ni kuwa nilipewa orodha ndefu ya dawa za kununua maduka ya dawa yaliyopo nje karibu na hospitali. Miongoni mwa dawa hizo imo panadol, pia niliambiwa kununua hadi kiwembe, gloves, cordclamp...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Habari wadau, kwa habari nilizopata ni kuwa, chama cha mapinduzi kimeshinda viti vingi vya udiwani ktk uchaguzi uliofanyika jana maeneo mbalimbali ya nchi yetu.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Dangote aishitaki serikali kuokoa Ajira za watanzania

    wewe dogo ndjabu da dude mbona unajibu watu kama mtoto aliyebemendwa! au ni kweli uli........
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung galaxy s3 mini.

    Nauza simu tajwa hapo juu ambayo ni nyeupw na used. Ni single laini, mfuniko wake wa nyuma una crack kiasi. Ila iko vizuri na haichagui laini. Bei ni 120,000/= cash. Nicheki 0787-561703. Nipo dsm.
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

    Uongo mtupu.
  10. E

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    hizi kauli sasa ni balaa, mkuu wa mkoa anaongea haya kwa niaba ya nani? yeye ana sauti gani ya kulisemea hili! huu ni ukasuku.
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NETANYAHU's speech on Africans and Arabs

    kama katamka hivi kweli, basi hana maana.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tutasagana meno na mataifa mengine yataanza kututeta.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani: Nani nimshitaki kati ya branch manager wa bima au mkurugenzi mkuu wa bima?

    Unatakiwa ulishitaki shirika la bima.. Ukimshitaki mtu umeliwa.. Wafanyakazi wa kampuni wanalindwa na kitu kinaitwa veil of incorporation na mwenye uwezo wa kulift hiyo veil ni mahakama pekee...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani: Nani nimshitaki kati ya branch manager wa bima au mkurugenzi mkuu wa bima?

    Nasema hivi kwa kuwa nimekatwa karibu miezi tisa bila mkataba nao shirika la bima, sasa nataka kufungua kesi mahakamani, kisheria natakiwa nimshitaki branch manager wa mkoani kwangu aliyeprocess makato hayo au nimshitaki mtendaji mkuu wa bima? naomba msaada wenu mnaojua sheria.
Back
Top Bottom