Recent content by EMII

  1. EMII

    JamiiForums Tanzania Nafasi za walimu wa Kiswahili Marekani

    Deadline ilikuwa 30/6/2017 Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  2. EMII

    JamiiForums Tanzania Natafuta wa kubadilishananae king'amuzi cha Startimes

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkorea sio kwa enzi hizi
  3. EMII

    JamiiForums Tanzania Natafuta wa kubadilishananae king'amuzi cha Startimes

    Mimi niehamia morogoro nkitokea DAR na decoder yangu ya Startimes antenna Ila haifanyi kazi kwa sababu ilisajiriwa kutumika Dar tu. Hivyo basi kwa mkazi wa Dar ambaye anatumia decoder za sasa ndogo na yuko tayari kubadilishana naomba anitafute. Faida ya decoder hii ni kwamba local channels...
  4. EMII

    JamiiForums Tanzania Ni halali SUA kuwa na TV au kiwanda cha maziwa?

    Pumbaaaaa
  5. EMII

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu biashara ya laptops

    Habari Wana JF, mimi napenda Sana na nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza laptops soon. Tatizo ni kwamba sina details za kutosha Kuhusu biashara hii kuanzia uagizaji, kodi na faida Pamoja na mambo yote yanayoihusu. Kwa mwenye uzoefu na biashara hii Naomba msaada tafadhali na Nipo tayari...
  6. EMII

    JamiiForums Tanzania Msaada; Anayejua kununua laptop China, mzigo ninaohitaji ni US $ 336, uzito ni 4.9 Kgs

    Nashukuru Sana mkuu
  7. EMII

    JamiiForums Tanzania Jipatie unlock code kwa bei nafuu kabisa

    Bei si ipo hapo juu mkuu au umemix madesa
  8. EMII

    JamiiForums Tanzania Msaada; Anayejua kununua laptop China, mzigo ninaohitaji ni US $ 336, uzito ni 4.9 Kgs

    Habari zenu wana JF, Kuna laptops kutoka China nimeziona Alibaba jumla ya mzigo ninaohitaji ni US $ 336, uzito ni 4.9 Kgs. Kwa mwenye uwelewa au uzoefu anisaidie kunifahamisha makadirio ya gharama ya bidhaa, usafiri, kodi hadi kunifikia mkononi. Natanguliza shukrani
  9. EMII

    JamiiForums Tanzania Natamani kujiunga na jeshi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
  10. EMII

    JamiiForums Tanzania Naomba tushauri hawa graduates wa postgraduate diploma wamekata tamaa

    Kwani hizo mil 7 alizipataje hadi akasoma??? Aliyekwambia kujiajiri lazima ufanye kitu kinachoendana na taaluma yako ni nani. Masanja Mkandamizaji analima mpunga je alisomea kilimo??? Tatizo hao ndugu Zako wameshaamini maisha ni kuajiriwa tu ndo maana walipata mil 7 wakazipeleka chuo. Kama...
  11. EMII

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya ualimu kwa secondary

  12. EMII

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya ualimu kwa secondary

    Kwel vichaa wapo Wengi, na Hili [emoji115]ni mojawapo... Mimtu ina roho mhaya kama kifo
  13. EMII

    JamiiForums Tanzania Hapa sitapeliwi kweli??

    Asee hao watu siku hizi ndo mchezo wao, ukituma Tu imekula kwako
  14. EMII

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Kwel ila zinauzwa, pesa yake sasa!!! Me nmekubali inipite Tu wenye uwezo waende
  15. EMII

    JamiiForums Tanzania Natafuta normal desktop computer kwa Tsh 50,000/=

    Mkuu Umemsahau sifuri moja asee... Ila Kama ndo budget daaah subir tu
Back
Top Bottom