Natamani kujiunga na jeshi

Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,604
20,079
Wakuu,
Ninatamani kujiunga na jeshi la Tanzania. Especially JKT au Hata JWTZ. Vigezo kwa wasichana inakuaje??
Msaada tutani
 
jeshi hawaokotezi kama kina nyie wana taratibu zao zilizonyooka kama AKACHUBE ROAD
 
Kuna watu matusi yako varandani tu hata kabla mlango hujaufikia
 
Wakuu,
Ninatamani kujiunga na jeshi la Tanzania. Especially JKT au Hata JWTZ. Vigezo kwa wasichana inakuaje??
Msaada tutani
Wabongo bwana mdada wa watu kuuliza ki uungwana anaomba kujuzwa ila mijitu humu bhna,mara wa kuokoteza mara tigo ndio nini sasa.

Nafasi zikitika mama utasikia kwa washauri wa mgambo kule wa kila wilaya na kunakujitolea jkt kwanza mama kisha utamua uelekeo wako.

Pole kwa majibu uliyapata ya kukuvunja moyo,jamii forum sio wote wakubwa kifikra wengine bado watoto sana
 
Asante mkuu. Ndio kulvyo huku. Wengi wao washavurugwa na hawajui kesho yao itkuwaje hata Kama uzima ni wa Mungu.
 
Usiwe mtu wa kupenda sana upendeleo kwa sababu ya jinsia yako, utaumia!
Kama unahitaji kitu kifatilie kwa nguvu na akili zako zote sio kutegemea jinsia, utaumia..
Nasema utaumia!
 
Usiwe mtu wa kupenda sana upendeleo kwa sababu ya jinsia yako, utaumia! Kama unahitaji kitu kifatilie kwa nguvu na akili zako zote sio kutegemea jinsia, utaumia... Nasema utaumia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom