EMII
Member
- Jul 11, 2016
- 69
- 34
Mimi niehamia morogoro nkitokea DAR na decoder yangu ya Startimes antenna Ila haifanyi kazi kwa sababu ilisajiriwa kutumika Dar tu. Hivyo basi kwa mkazi wa Dar ambaye anatumia decoder za sasa ndogo na yuko tayari kubadilishana naomba anitafute. Faida ya decoder hii ni kwamba local channels unaangalia bure hata kama hujalipia kifurushi.
Mawasiliano: 0743170815
Picha [emoji116]
Mawasiliano: 0743170815
Picha [emoji116]