Recent content by Emen

  1. Emen

    TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    RIP,,,, mkoa wa Tanga sio aisee unawatu wenye wivu na roho sio 💔, sindio huko waliroga hadi gari la mkandaras likawa halionekan mara waligoma barabara y’a kuwasaidia wenyewe isijengwe💔
  2. Emen

    Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Silent is power siku zote,,, but inaweza ikawa toxic power to punish (to make someone chase you) or health power to protect your peace!!!
  3. Emen

    Muonekano mpya wa Beyonce wazua tafrani, bado ana vigezo vya kujiita "black woman" ?

    Hapo ndio anavyopenda kuongelewa ni Kama Diamond huku, sasa macho yanahamia kwake tangazo lishaenda mjin btw kuna video The day Beyonce turned black it’s funny
  4. Emen

    Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

    Ka google love bombing hapo ndipo kwenye mtego kama hauna self control lazima unase,,,unatumiwa sana na watu wenye avoidant attachment (aka Players) 90days rule inawakimbiza au muombe hela japo wengine wanavumilia wakulize tu
  5. Emen

    Ukiwa mwizi, ukiibiwa tuliza komwe

    Toxic relationship in marriage enter the chat,,,,
  6. Emen

    Sina maana ya kuubeza urafiki lakini nazidi kukazia stay very close na ndugu na familia yako, Marafiki ni wa muda tu

    Kwajinsi mzee wangu alivyoteswa na ndugu zake nasema hivi bora rafiki kuliko ndugu!
  7. Emen

    Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mkuu umeongea kwa hasira sana😂😂😂
  8. Emen

    Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Wakuu tumepigwa sana,,, kuna kitu niliona online china $1 hapo kkoo sasa nilichoka 🙌🏽
  9. Emen

    Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

    Kuna wajapani nao masaki huko walianza na kila kitu elf6 labda wanawavuta wabongo
  10. Emen

    Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

    Ya pili ilitakiwa iwe Have
  11. Emen

    Kufanya kazi kwa wahindi bila kujipendekeza na kuwa mnafiki inawezekana kweli?

    Usiombe uwe department moja na ngozi nyeusi kanjibai walivyo wanoko ,,, yan utafuatiliwa mpaka
  12. Emen

    SI KWELI Kuna nyoka anawika kama jogoo

    Kuna mwingine kama Mbuzi
  13. Emen

    Ushuhuda juu ya dawa ya Dr.RAHABU

    Hmmm hivi mkojo sio sumu? hauez kwenda kuharib figo,,,?
  14. Emen

    Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

    Acha kabisa tena akiwa kasoma ndio utajuta
Back
Top Bottom