Ushuhuda juu ya dawa ya Dr.RAHABU

Ushuhuda juu ya dawa ya Dr.RAHABU

Mkuu@Billie , vipi mlifanikiwa kumpata tiba ya vidonda vya tumbo?
 
Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo Dada anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.

chanzo.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/26847-dawa-ya-vidonda-vya-tumbo.html
https://www.jamiiforums.com/jamii-p...ako-mwenyewe-kama-huyu-nyani-anavyofanya.html
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/203168-umetenda-maajabu-siwezi-kueleza-3.html
Hmmm hivi mkojo sio sumu? hauez kwenda kuharib figo,,,?
 
Usipoze muda na dawa za huyo dada tafuta dawa nyingine...ila for the mean time mtafutie asali mpe kila asubuhi kabla hata hajanawa uso glas ya maziwa fresh kisha changanya na asali vijiko 2-3 pia mchana na usiku...pia msagie juisi ya karot mara kwa mara itapunguza maumivu
Maziwa fresh na vidonda vya tumbo havipatani.... Ni swala la muda tuu.... Utaona ambavyo mgonjwa wako anazidiwa na hivyo vidonda vya tumbo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom