Recent content by Emeka Onono

 1. E

  Nokia N8

  laki 8,nimekaa nayo inakaribia mwaka sasa,nauza kwa laki 4 kama unataka niPM
 2. E

  Tuongee na mengine

  Pumbavu ww! Hayo mengne kajadili huko kwenye majukwaa mengne sio hapa,ukiwa mgen piga hodi sio unaingia tu mpaka chumbani bushoke wewee!
 3. E

  People power & radar recruitment: Are they for us Or for wasting our time?

  arsenal,weka hapa contacts za hao agency ya msomali au niPM
 4. E

  Wazazi wangu wanataka kuachana, nifanyeje?

  hapo mbili usifanye hvyo,zidi kuwasihi au waache ila endelea kuwaombea na jf members 2ko nyuma yako,btw waweza kunipm tukaongea
 5. E

  mapenzi na ndumba

  duuh! Hii kali! Halafu ndio inakuaje? Idadavule mkuu
 6. E

  Urgent!!!

  mmmmh! Uzee tena? Kumbuka post yako uliyosema nawe utahitaj kama ma jery muda ukifika,sa hiz unasema uzee tena? Mwongo lazima awe na kumbukumbu
 7. E

  Urgent!!!

  deadly kilaza! Ahahaaa rose bwana! Haya mwaya
 8. E

  JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

  unasubiri nn? Anza mapema,au nawe unataka kuzima moto? Ebu nipm bibie tuanze ukurasa wetu mpya
 9. E

  JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

  wangapi wanafukunyuliwa bwana? Au mimba ndio ushahid ya kwamba amefukunyuliwa? Ahahaha,ila hiyo terminology yako? (kufukunyuliwa) ukinyambulisha unapata kufukunyua,kufukunywa,fukunyulishwa,lol!
 10. E

  JF ni mambo yote nimepata mume hapa jamani nashukuru

  miez 6 mbona inatosha kabisa! We umezoea kukaa miaka 4 halafu hajuna harusi,nakupongeza ma jery!
 11. E

  Teaching job

  mkuu matumbo mnalipa sh ngapi? Mi nafundisha masomo ya sayansi,niPM bas tuongee
 12. E

  Teaching job

  we senetor unamwambia udom? Wakat walishatangaza? Kama hajatuma maombi asahau!
 13. E

  Natafuta kazi ya ualimu

  toronto ya wapi hyo kaka? Canada au? Nami nahitaj mkuu,ntakupm
Top Bottom