People power & radar recruitment: Are they for us Or for wasting our time? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

People power & radar recruitment: Are they for us Or for wasting our time?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by UKWELIWANGU, Oct 6, 2011.

 1. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muda mrefu tangia hawa jamaa waanze kutanganza nafasi za ajira ufanye application online. but i wonder some times there is repetation on their advert they only changes the dates. pia hata ukifanya hizo applicatio online no any feedback i mean hamna mafanikiyo
  kinachobaki ni ww kutuma emails kila kukicha. unapoteza pesa na muda internet bila mafanikiyo.
  MNATUTESA NA KUTUNYANYASA KISA SHIDA ZETU.  WATANZANIA TUSIUMIZANE BALI TUSAIDIANE. USITUMIE SHIDA YA MWENZIO KUJINUFAISHA PIA USIMFANYE MWENZIO MJINGA KWA SHIDA ALIYOKUWA NAYO
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Yaani people power cwaamini kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mimi!
   
 3. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wanapeana ajira kiukoo na kijamaa, maana haiwezekani qualification unazo unaomba ajira mwaka mzima, lakini no response.
  Hasa hawa radar ovyo sana .
  Nakumbuka waliwahi kunipigia simu kama 6month ago, eti wanajifanya kuniuliza hivi hutujawahi kukufanyia interview kwenye kampuni ya simu? Wakati sikuwahi hata kuonana nao.
   
 4. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Radar ndiyo wamelaaniwa hata hawana aibu kwa sababu wanafanya kwa maslahi yao.
   
 5. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Halafu husipopokea simu yao (mara moja katika 20 applications) wanasusa hawakupigii ng'oo....ovyooo kabisa radar recruitment agency.....mambo yako katika agency ya msomali pale kinondoni hugo house jamaa very professional...Radar ya 2005-2007 ndo ilikuwa bomba!
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Vumilia ndugu
   
 7. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu unaroho ngumu!? Hiyo yuzanemu yako mbona vidonda vya tumbo tosha.
   
 8. E

  Emeka Onono Senior Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  arsenal,weka hapa contacts za hao agency ya msomali au niPM
   
 9. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa Radar hawana maana kabisa, huwa wanauza kazi kwa ndugu na rafiki zao pale nyuma walipokuwepo wakina Miranda,Mya,Shuli kidogo ilikuwa ina enda proffessionally siku hizi ni wasanii na ujinga wao mmoja huwa wanawahi kudaka kazi kuliko other Recruitment companies. Kuna hoja ililetwa humu ndani kuhusu utitiri wa Recruitment companies. Nyingi zinakuwa ni vijiwe vya kutafuta pesa jaribuni hizi nimesikia hazina longolongo Mygoli,Prestige,HRM pale mikocheni warioba, Ipo nyingine pale Mikocheni kwa mwalimu kwenye ghorofa lenye Crdb atm.
   
 10. P

  PAFKI Senior Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Yap!ni vema mna2ambia na cc 2yajue hayo marecruitment feki kwani hata mm nimeomba mara nying lakini hata call ya interview cjapta nikaw najiuliza kulikoni?
   
 11. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Radar ni vichwa maji, walinipigia kuniuiza kama naweza kufanya interview na watu fulani nikakubai hawakupiga wiki nzima. Siku hiyo bangi zikapanda kichwani nikatuma sms ya iliyochomoka kuzimu ghafla! hata kwa mtutu wa bunduki hawawezi kunipigia simu tena ya kuniita.

  Wanacheza na akili zetu, wanajidai ni recruitment agency kumbe ni wahuni tu wauza vitabu wale. Nawajua nilifanya nao kazi nikiwa kwenye kampuni fulan niakawaulilza kuhusu suala langu huyo mhindi akasema niwasamehe kwa sababu aliyekuwa anadeal na mimi alishaondolewa kwa sababu ya watu kulalamika.
   
 12. celineelibariki

  celineelibariki Member

  #12
  Oct 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawana lolote wazushi tu
   
 13. Mhandisi Mzalendo

  Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280


  kaka hzo za mikochen hebu nielekeze ya hapo kwa warioba maana npo mitaa hii......nataka niwafikishie cv yangu pale kabsa....
   
 14. e

  evaluator Senior Member

  #14
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  prospect africa,hii ndio yenye uakika,iko pale kinondoni HUGO house.yani yule jamaa anaitwa Aziz yuko smart sana.mimi nilipata kazi kupitia hii recruitment agent,kilahisi bila longolongo wala nn!pia wanatunza cv,ko jaribuni kutuma.jambo la msingi anakufanyia interview ukiweza link fasta. BIGUP AZIZ..........................BIGUP PROSPECT AFRICA MUNGU AWABARIKI
   
 15. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #15
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa akina kaka na akina dada ni vyema kama mtu anazijua recruitment company ambazo zina uhakika wa kumtafutia mtu kazi. naomba kwa manufaa ya wana JF wote aziweke hewani ili watu tuzijuwe mana watu wengi wanataabika kwa kukosa kazi na kuzing'ang'ania hizi recruitment tajwa hapo juu kwa kutozijuwa hizo nyingine.
  PLZ naomba mudhioredheshe vizuri ili kila mtu asiyezijuwa azitambue na azifikie kwa ajili kukabidhi CV yake.
  asanteni.


  TUMECHOKA KUFANYWA WATUMWA WA KIFIKRA.
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mi nilishawapotezea kitambo, sitak kabisa kusikia habari zao.
   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Nina 56 applications pale Radar Recruitment! Customer Services and Banking Operations (Branch) are my areas of competence. Hizi zote zipo kwenye my finger tips na nafasi za hizo posts wanatoa sana lakini sijawahi kabisa hata kuitwa kwenye interview! Kama kuna kitu ambacho najiamini kwa 100% kwamba nipo fit ni banking operations; hivyo ninapokosa japo interview ya angalau ya kinafasi cha Banking Operations Officer huwa najiuliza hao wanaoitwa hadi kuchukuliwa wana uzoefu wa aina gani na kutoka wapi!! Halafu hao hao radar kuna siku niliwategeshea. Nikabadili jina, namba ya simu na email adress !! Nimetoka ku-post tu ile CV; siku ya pili yake wakanipigia na nilipoenda nikakutana na kidada kimoja cha kiarabu!! Nilipokiona tu na tuviswali vyake; nikaona ni mimi ndie nilkiyetakiwa nimfanyie yeye interview badala ya yeye kunifanyia mimi! nilitamani nimtie makofi ili niondoke zangu lakini nikajitahidi hivyo hivyo kuvivumilia viswali vyake hadi nilipoondoka! Hiyo ilikuwa mwaka jana, na hadi sasa cjaitwa tena na ile original cv yangu!!!
   
 18. e

  evaluator Senior Member

  #18
  Oct 7, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mail hiyo hapo:recruitment@prospect-africa.com
   
 19. jipitishe

  jipitishe Member

  #19
  Oct 7, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenye kufahamu pia utaratibu unaotumika na hizo recruitment agency atuambie kwasababu kuna wengine hatujawahi kuzitumia so kama kuna malipo yanatakiwe atujuze especially kwa hizo zenye kuaminika kama prospect africa na nyenginezo.
   
 20. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hebu nielekeze ilipo hiyo Hugo House! Ni Kinondoni ipi? c unajuwa tena kinondoni ilivyo pana kwa m2 ambae c mkazi wa huko!!!
   
Loading...