Recent content by EMEDNEY

  1. EMEDNEY

    Wanachuo wa kike .... Je hii ni kweli?

    DUUUH MAPENZI SOMETIMES yanaweza kukufanya uwe kama zezeta. Ndo hivyo tena hiyo ndo inakamilisha maana halisi ya MAISHA. TUPIKIENI TUU ILI TUPATE AFYA YA KUJA KUWATAFUTIA PESA WENZENU:D:D
  2. EMEDNEY

    Je, ni kweli haya anayoniambia mchumba wangu?

    HAYA NAYO MAWAZO MAZURI
  3. EMEDNEY

    Je, ni kweli haya anayoniambia mchumba wangu?

    UGONJWA HUU UMEJITENGENEZEA PALE TUU ULIPOANZA KUFANYA BIKRA NDO KIGEZO CHA MAPENZI YENU NA KUFIKIRIA HADI KUMUOA sasa Tiba yake ni NGUMU kupata. Mawazo yangu madogo huyo mwanamke sio mkweli na KUMUOWA kisa unaogopa umesha anza vikao bado pia ni ujinga maana utakuwa ujinga zaidi kutotambua kuwa...
  4. EMEDNEY

    Irene Uwoya aachana na Bongo movie, asema haiuzi tena siku hizi

    Hivi na hii ina uhusiano wowote na uongozi wa baba ye MAGU? :) Maana hali inaonyesha ishakuwa ngumu yaani!
  5. EMEDNEY

    Mmmh! Hakika Mungu Anaumba

    HAHAHA ULIVYOELEZEA YAANI INATOSHA KUONYESHA NAMNA GANI HUMKUBALI YAANI.
  6. EMEDNEY

    Jamani Wachagga mbona mnatutesa hivi hapa Ubungo Terminal?

    Nakasikia kwa mbali KILE KINYIMBO CHA CCM MBELE KWA MBELE :):D Alafu ndo nasoma thread hiii yaani nimecheka hadi NIMEDONDOSHA UDENDA KWENYE KIOO CHA SIMU YANGU.
  7. EMEDNEY

    Ndoto za mabinti wengi ni harusi

    HII NAYO IDEA ILA WENYE MIAKA ZAIDI YA 30 KUMBUKA NAO WAMESHAKATA TAMAA YA NDOA NA KUONA WASHAZEEKA MDA WAO UMEISHA:)
  8. EMEDNEY

    Ndoto za mabinti wengi ni harusi

    HAHAHAHA AKILI ZAKO BANA.
  9. EMEDNEY

    Ndoto za mabinti wengi ni harusi

    HAHAHA NAANGALIA TUU MAWAZO YAO YATAKAYOKUJA.
  10. EMEDNEY

    Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

    BORA UACHE KAZI UJE NAE DAR HOMIE MAANA HUKU HATAZIMA SIMU KINACHOFATA NI ATAONGA SIMU NA LAINI KABISA:)
  11. EMEDNEY

    Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

    HAHAHA WEE JAMAA MAWAZO YAKO BUAANA.
  12. EMEDNEY

    Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

    DAAH HAPO HAIITAJI AKILI NYINGI KUJUA UMECHAPIWA TENA KWA STAIL ZOTE SASA FANYA HIVI KWA VILE MIMI NIPO DAR WEWE NIPE NAMBA YAKE YA SIMU NA KWAKUWA UMESEMA NI MKALI BASI HATUNA BUDI KUSAIDIANA MATATIZO BROTHER:)o_O
  13. EMEDNEY

    Ndoto za mabinti wengi ni harusi

    NDOTO ZA MABINTI WENGI NI HARUSI. Ukizungumza na wasichana au wanawake ambao hawajaolewa, unapozungumzia suala la Ndoa, kwa bahati mbaya sana wengi vichwani mwao inajengeka taswira ya harusi. Ukisema Ndoa yeye anawaza gauni jeupe (Shela) lenye mkia mrefu na maids wamelishika huku na huku...
  14. EMEDNEY

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    NDOTO ZA MABINTI WENGI NI HARUSI. Ukizungumza na wasichana au wanawake ambao hawajaolewa, unapozungumzia suala la Ndoa, kwa bahati mbaya sana wengi vichwani mwao inajengeka taswira ya harusi. Ukisema Ndoa yeye anawaza gauni jeupe (Shela) lenye mkia mrefu na maids wamelishika huku na huku...
  15. EMEDNEY

    Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    YAANI UKIFUATILIA SANA HAYA MASWALA UNAWEZA UGUA UGONJWA MPYA YAANI MAANA TUNAVYOPELEKWA PELEKWA UTAZANI TIARA NA UPEPO.
Back
Top Bottom