afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,728
kama mimi sioi leoNdio sababu hadi leo naogopa sana kutaka kuoa
kama mimi sioi leoNdio sababu hadi leo naogopa sana kutaka kuoa
Hahahaaahukoo maombiituuumpwasomaniasheMkuu aliyotaka wayaote, si ndio hayo hapo kayaorodhesha, au mimi ndio sijaelewa?
Vipi ATCL na bodi yao wanaendeleaje huko?
kabisa ndoa si vita na vilevile hakuna alie kamilika hivyo basi tuko kukamilishana .Hivyo nasi mshirikishe Mungu ktk maswala haya maana wanadamu hawawezi ona mioyo ya watu .Bandugu Mungu ni mwema ukimwomba mimi sijutii ndoa yangu hata iwe ina dhoruba gani nafurahia kupata life patner kwa kweli wakati wa raha kweli ni raha wa shida tunafarijiana na kumwomba Mungu .Jamani mtu mwenye hofu ya Mungu ni mzuri mno .Time is against us. Nyie ambao mnaogopa kuoa, mtashangaa mnafika 60 hamna partners, watoto wa kuwasaidia. Na vile vile kila mtu unayemjua mtasikia tu habari kafariki. Ushauri, oeni tu, yote hayo ni changamoto. Ukioa unapata rafiki wa maisha.
-callmeGhost
Kijana ni nani? Maana naona umechanganya kalimati, kababu, pizza, na mishikaki (mwanamke, kijana, mume, mke). Mleta mada kaongela kijana wa kike ambaye hajaolewa (kumbuka huyu huwezi kumuita mke kama ulivyo fanya wewe) , ila mwishoni pia kamsema na kijana wa kiume (kumbuka huyu nae huwezi kumuita mme) ambaye hajaoa jinsi wanavyotakiwa kulichukulia suala la ndoa na mazito yake.Hii imebase upande mmoja. Vijana was siku hizi na wenyewe wanapenda maisha ya mafanikio haraka. Mara chache ndoa za siku hizi utakuta kijana anaoa mwanamke asie na kazi.
Hawapendi kumuemdeleza mke wake na hata kama Ana ndoto za biashara au elimu ni wanaume 1 kati ya 10 atamsaidia kufika malengo.
Wanaume hawa hawa anapenda mke mrembo, wa kisasa lakini hawako tayari kumhudumia na kuhakikisha anapendeza!
Mume unakuta anataka kodi alipe nusu na mke nusu, likewise kwa matumizi mengine ya ndani!
Wengi wao huwa wanafikiria ndoa ni kufungua zipu tu. Likija swala la majukumu mnaanza ku dodge....
Wanaume wana expect mke a sacrifice her happiness ila wao wabaki kama walivyo!
Mke abaki home, afue, apike,afanye usafi na kulea watoto wakati yeye yuko bar na marafiki!The lady would as well have loved to hang out with her friends!Kwanini usibaki nyumbani talk her and give her company to make the chores seem lighter!
Ndo sio lele mama... mkitaka kufaidi stand by your partner ila sio kumfanya ajute
[HASHTAG]#Lara1[/HASHTAG] hana shida na mambo ya ndoa, mkuu usifikiri mtu anachokiandikaga humu hufanya.Huko ikikutana na anti-marriage, sampuli za kina [HASHTAG]#Lala[/HASHTAG] one sijui kama itahimili
Bora usifikirie sana banaUkifikiri sana unaweza usifunge kabisa ndoa na yeyote yule....
Just sayin'
Bado unawaza kuoa bikra?Mimi ndio Maana nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele...
Wazo la kuoa sina hata nukta....
GONGA BANJUA PIGA CHINI SEPA MBELE. OVER.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Chief acha kuwatenda watoto wa watu lazima huwa unakutana na wasiojielewaMimi ndio Maana nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele...
Wazo la kuoa sina hata nukta....
GONGA BANJUA PIGA CHINI SEPA MBELE. OVER.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
HAHAHA NAANGALIA TUU MAWAZO YAO YATAKAYOKUJA.SIJUI KAMA WADADA WATACHANGIA HAPA
Kabisa mkuu ile anameremeta, anawawaka ina raha yake, tena iwe na mtu unayempenda.