Wanachuo wa kike .... Je hii ni kweli?

Wanachuo wa kike .... Je hii ni kweli?

Yaani unamaana kwamba baada ya kutumika au kutumiwa sana na kufikia Level ya kuitwa MTUMBA bado unatarajia siku za usoni kupata Decent Husband au Wife??? Nawaza tu kwa SAUTI. Nitarudi baadaye kuchungulia.
Huyo "decent husband au wife" ndo apatikana wapi mkuu?
 
Wadanganye tu .... Kuna kozi kama huhudhurii lecture huna chako...nitajie labda kozi unafaulu bila kwenda lecture
Sibishani na wewe walio elewa wameelewa! ila ni ukweli kuwa si wanachuo wote huudhulia lecture from day one to end mimi binafsi sikuhudhuria baadhi ya lecture lakini sikufeli na kuna wale walihudhuria zote zote na bado wali supp au Ku Disco, ukitaka kujua hayo tembelea kwenye vyuo hoji wanafunzi wakwambie
 
Yaani unamaana kwamba baada ya kutumika au kutumiwa sana na kufikia Level ya kuitwa MTUMBA bado unatarajia siku za usoni kupata Decent Husband au Wife??? Nawaza tu kwa SAUTI. Nitarudi baadaye kuchungulia.
Hata ulichowaza hakieleweki labda unitajie Binaadam MTUMBA anapatikana wapi, kwa Mawazo hayo ni bora kuto kuwaza maana unajitia upumbavu
 
khaaa...hapa ni kusema kuwa tuwagegede tuu hahahaha
Nilimaanisha kwamba waweza kuwa kwenye mahusiano na mtu ukajipa 100% kwamba mtakua pamoja milele (ndoa) lakini mpenzi akakuacha ghafla au akawa anakufanyia visa kadhaa wa kadhaa, ukifahamu kuwa si kila mapenzi huzaa ndoa hautoteseka saana utamuacha aende na kiuraihisi utaendelea na maisha yako
 
Somo tosha kabsa
 
Ni ukweli mtupu! Wengi tumefanya hivyo kwa ajili ya kujiwekea nafasi nzuri kwa boyfriend zetu japo mwisho wa siku pengine hawakua wetu na sasa unafanya maisha na wengine, hili jambo lipo halikwepeki kwa sasa
DUUUH MAPENZI SOMETIMES yanaweza kukufanya uwe kama zezeta. Ndo hivyo tena hiyo ndo inakamilisha maana halisi ya MAISHA.
TUPIKIENI TUU ILI TUPATE AFYA YA KUJA KUWATAFUTIA PESA WENZENU😀😀
 
mhh vyuo gan hapa tz? mana most katika mabweni hurusiwi wala huwez kupika
 
Back
Top Bottom