Nilivyomaliza tu Chuo, nilimpa dogo laptop na sijawahi miliki tena..ni hizo simu tu za mtoa mada 250k+, yeye anahisi watu wote wanaitaji milaptop huku mtaani..
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ukisema hivi, kama ni kweli nazidi kuamini kuna level za biashara inapaswa a very tough connections, vinginevyo vikwazo vinakua vingi sanaaa tutaishia huku chini na biashara za kula, kunywa na kuhudumia na kusomesha watoto..
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hamna cha Supu wala nini, naonaga tu za moto ladha ya kiwaki..na bia za baridi, sio mpenzi...ila ziko bomba sanaa
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hahaha eti upungufu wa ny*ge, napendaga wakina dada au mama ambao hawaishi kwa maigizo, wanakunywa wanachokipenda regardless sijui nini, hao wanywa savanaa wengi hawajinunui wao, ila ww hata ukiwa na buku tano unagonga unapata stimu, taratibu home.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hahahaha, ila kumbe mambo ni kinyumeee na tuliitetea Elimu, kumbe tungejua ukweli tungeacha madarasa bila watu..
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ni kama tu analeta usumbufu, kama ni monde apigeee au Juice tu, sio vuguvugu...anataka ladha za wine alafu hataka kulewa...
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mkuu, watu wa hivi wanaonaga kwamba wao sijui ndio wema sana...ishu ni ile ile, wanywa pombe hatunaga shida nao, ila wao kila leo hawaishi kukera.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.