APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,041
- 11,881
Tumezinywa sana mitaa ya Mapelele na DDC hadi Tazara (Bulongwa)Power mi ndo nimejifunzia pombe,mbalizi mbeya pindi hiyo tupo skuli usongwe sec
Tumezinywa sana mitaa ya Mapelele na DDC hadi Tazara (Bulongwa)Power mi ndo nimejifunzia pombe,mbalizi mbeya pindi hiyo tupo skuli usongwe sec
Haya ww ya kwako mazima, hongera..Huu uzi umejaa walevi,ptuu.Endeleeni kuchoma hayo maini mpaka msikie harufu ya mshikaki.
Huku kanda ya ziwa tunatembea nazo sana, nashngaa Dar nilikua sizioni kabisa..hahahaPombe tamu sana hiyo ukinywa chupa 3 unalewa tiii
Hahahaaa bulongwa Kwa yule faza mkinga karibu na kanisa la mwasiposya..aah kitambo mwanangu hapo tazara bulongwa tumekula sana gambe..mapelele,DDC sana tu..hivi ile power pub kule soko juu bado ipo?Tumezinywa sana mitaa ya Mapelele na DDC hadi Tazara (Bulongwa)
Nimecheka mbele ya watu halafu kwa sauti,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bia nzuri sana, kinachonikera nikikaa na safari langu kubwa eti kuna watu wananishangaa mwanamke nakunywaje safari si ningekunywa savanna!!! mi nikiiangalia naona imeandikwa haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18, haijaandikwa haiuzwi kwa wanawake.....
Nasmile, nabeba chupa langu naendea kumimina povu mdomoni.....wanikome [emoji57][emoji57] ninywe savannah nimewaambia nna upungufu wa nyegge???
Ina kiharufu fulani kama dawa za kienyejiBudweiser ndiyo habari ya mjini kwa sasa, unapiga za kutosha asubuhi unakunywa chai na vitumbua
Wanawake wanaokunywa safari automatic wanaingia kundi la wanaume si ndio 😁Safari ndio beer ya kiume
pilsner vp babu,haipandi?Juzi nimeonja nimeamka na hangover ya hatari