Windhock na Heineken zinachakachukuliwa?

Bia nzuri sana, kinachonikera nikikaa na safari langu kubwa eti kuna watu wananishangaa mwanamke nakunywaje safari si ningekunywa savanna!!! mi nikiiangalia naona imeandikwa haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka 18, haijaandikwa haiuzwi kwa wanawake.....

Nasmile, nabeba chupa langu naendea kumimina povu mdomoni.....wanikome ninywe savannah nimewaambia nna upungufu wa nyegge???
Hahaha eti upungufu wa ny*ge, napendaga wakina dada au mama ambao hawaishi kwa maigizo, wanakunywa wanachokipenda regardless sijui nini, hao wanywa savanaa wengi hawajinunui wao, ila ww hata ukiwa na buku tano unagonga unapata stimu, taratibu home.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Wachina watatuua, hizi pombe kali ndo usiseme.
Kuna day nimechukua Konyagi ya kati nimekunywa funda mbili tu naona kamasi nyepesi zinaanza kuchuruzika puani,Alafu mpaka fizi zinauma...basi kuna dogo alikuwa karibu (nae mpenda makali) nikampa nikaenda geto, ile narudi nakuta dogo kazima kwenye kibaraza cha pale grocery....sijui TBS wako wapi aisee, pombe fake ni shazi sana kitaa, bora hata nyagi, Vant ndo usiseme.
 
Nilikuja huko nyumbani April nikanywa pombe moja inaitwa Gilbeys sitosahau ilichonifanyua. Wamiliki wa Bar huzipenda hizi fake maana huwapa faida kubwa.
 
Hahaha eti upungufu wa ny*ge, napendaga wakina dada au mama ambao hawaishi kwa maigizo, wanakunywa wanachokipenda regardless sijui nini, hao wanywa savanaa wengi hawajinunui wao, ila ww hata ukiwa na buku tano unagonga unapata stimu, taratibu home.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mi nikikaa mwenyewe au nipewe ofa napiga safari tu, nkimaliza sita natembea zig zag raha tupu
 
Mwagilia moyo wewe
1659880900416.jpg
 
Nilikuja huko nyumbani April nikanywa pombe moja inaitwa Gilbeys sitosahau ilichonifanyua. Wamiliki wa Bar huzipenda hizi fake maana huwapa faida kubwa.
Kuna vipombe fulani vya pact vilikuwa vinaitwa power vilikuwa vina chapa ya ngumi,Vilikuwa vinatoka Malawi, Mbeya pale vilikuwa shazi sana, bei ilikuwa ni 200 tu kwa pact moja, hiyo ni miaka (2000's).Ilikuwa vya buku mbili tu unazima, alafu ukiamka hiyo asubuhi utatafuta mno maji ya kunywa.
 
Power mi ndo nimejifunzia pombe,mbalizi mbeya pindi hiyo tupo skuli usongwe sec
 
Kuna vipombe fulani vya pact vilikuwa vinaitwa power vilikuwa vina chapa ya ngumi,Vilikuwa vinatoka Malawi, Mbeya pale vilikuwa shazi sana, bei ilikuwa ni 200 tu kwa pact moja, hiyo ni miaka (2000's).Ilikuwa vya buku mbili tu unazima, alafu ukiamka hiyo asubuhi utatafuta mno maji ya kunywa.
Hapo ndo mnapokosea ili pombe kali isikusumbue unatakiwa unywe na maji mengi hapo umejiokoa na mengi pombe kali sio ya mashindano
 
Back
Top Bottom