TANZANIA TUITATAKAYO
MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU.
MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya msingi, minne (4) sekondari ya awali na miwili (2) sekondari ya juu ni mingi kulinganishwa na...
Abood kashakula sana tokea awamu zilizopita kwaiyo watu wa kariba na hirimu yake hawawezi kukumbwa na ombwe la ugumu wa maisha unaolalamimiwa na walio wengi
Kk umenena, haina maana kufanya vitu visivyompa Mungu utukufu. Tujitaidi kufanya mapenzi kwa njia ya asili kwani tofauti ya hapo ni kujitakia usodoma na ugomora maishani mwetu na kwa Taifa letu[emoji4]
Sijaona mantiki hasa ya ulchotueleza na unachokusudia kukifanya, kwa nionavyo mimi haina haja kujitesa kiasi icho
Yani utembee kwa miguu mpaka Dodoma?? Kumpongeza rais??
Tafuta namna nyingne mzee ya kufanya unachotaka, hyo ilfanyikaga miaka iyo kipind cha wafalme, machifu na watemi.
Kwasasa...
Uko kwa Fidel Castro tuachane nako kwakua tayari ni hayati afu hawezi kua suluhisho la mahitaji ya watanzania
Ishu pekee ya kuisaidia Tz now is to bring back our lost freedom of speech & expression.
Nadhani ni muda muafaka sasa wa kila mtanzania kupima mbichi na mbivu.
Tumeelezwa sana kipindi cha uchaguzi na Prof. Kitila Mkumbo kua Utafiti hupingwa kwa utafiti. Alichokitoa Dr. Mwele Malecela ni utafiti, serikali haikupaswa kuupinga wangefanya na wao utafiti kuliko kukimbilia kumpinga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.