Vijana wazalendo kutembea kwa miguu kutoka Dar hadi Dodoma kumuunga mkono Rais Magufuli

Habari wana jamvi, mimi AUGUSTINO CHIWINGA nimeamua kwa pamoja na vijana wenzangu kufanya matembezi ya kizalendo kutoka jijini Dar Es Salaam, hadi mkoani Dodoma yalipo makao makuu ya nchi yetu kwa miguu ikiwa kama ni njia ya kumuunga mkono mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli, kutokana na hatua anazochukua kupambana na mafisadi na wala rushwa.

Tumeona katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameweza kufanya mambo mengi mazuri kama kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya kila mwezi, utoaji wa elimu bure, ufufuaji wa shirika la ndege la Air Tanzania, suala la madawati ununuzi wa vitanda vya wagonjwa muhimbili, utengenezaji wa mashine za CT-Scan na MRI pamoja na mambo mengine mengi.

Matembezi hayo ya kizalendo yanatarajiwa kufanyika mapema mwakani (2017) na kama wewe ni mzalendo unakaribishwa kuungana nasi kwa kuwasiliana kupitia namba 0756810804 au kupitia barua pepe (E-Mail) augustino162@gmail.com.
Karibuni katika matembezi ya kizalendo 2017.
joblesss
 
Hivi hii ni serious au kinyume chake?
Watu kama nyie inabidi mkamatwe mtandikwe viboko,nyie ndio mnaoturudisha nyuma.

Halafu Max anateseka kupigania uhuru wa maoni na villaza kama nyie mkiwepo.

Basi hapo umejiona umeandika bonge la point kuwa CHAGADEMA unakuwa huna akili hata robo.....

Hapo unatetea uhuru wa maoni kisha unamkandamiza mtu kwa kutoa maoni yake SHUBAMITTTTTTT
 
Habari wana jamvi, mimi AUGUSTINO CHIWINGA nimeamua kwa pamoja na vijana wenzangu kufanya matembezi ya kizalendo kutoka jijini Dar Es Salaam, hadi mkoani Dodoma yalipo makao makuu ya nchi yetu kwa miguu ikiwa kama ni njia ya kumuunga mkono mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli, kutokana na hatua anazochukua kupambana na mafisadi na wala rushwa.

Tumeona katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameweza kufanya mambo mengi mazuri kama kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya kila mwezi, utoaji wa elimu bure, ufufuaji wa shirika la ndege la Air Tanzania, suala la madawati ununuzi wa vitanda vya wagonjwa muhimbili, utengenezaji wa mashine za CT-Scan na MRI pamoja na mambo mengine mengi.

Matembezi hayo ya kizalendo yanatarajiwa kufanyika mapema mwakani (2017) na kama wewe ni mzalendo unakaribishwa kuungana nasi kwa kuwasiliana kupitia namba 0756810804 au kupitia barua pepe (E-Mail) augustino162@gmail.com.
Karibuni katika matembezi ya kizalendo 2017.
Sijaona mantiki hasa ya ulchotueleza na unachokusudia kukifanya, kwa nionavyo mimi haina haja kujitesa kiasi icho
Yani utembee kwa miguu mpaka Dodoma?? Kumpongeza rais??
Tafuta namna nyingne mzee ya kufanya unachotaka, hyo ilfanyikaga miaka iyo kipind cha wafalme, machifu na watemi.
Kwasasa ni kutafuta kiki tu kwa mzee kipara
 
Habari wana jamvi, mimi AUGUSTINO CHIWINGA nimeamua kwa pamoja na vijana wenzangu kufanya matembezi ya kizalendo kutoka jijini Dar Es Salaam, hadi mkoani Dodoma yalipo makao makuu ya nchi yetu kwa miguu ikiwa kama ni njia ya kumuunga mkono mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli, kutokana na hatua anazochukua kupambana na mafisadi na wala rushwa.

Tumeona katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameweza kufanya mambo mengi mazuri kama kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya kila mwezi, utoaji wa elimu bure, ufufuaji wa shirika la ndege la Air Tanzania, suala la madawati ununuzi wa vitanda vya wagonjwa muhimbili, utengenezaji wa mashine za CT-Scan na MRI pamoja na mambo mengine mengi.

Matembezi hayo ya kizalendo yanatarajiwa kufanyika mapema mwakani (2017) na kama wewe ni mzalendo unakaribishwa kuungana nasi kwa kuwasiliana kupitia namba 0756810804 au kupitia barua pepe (E-Mail) augustino162@gmail.com.
Karibuni katika matembezi ya kizalendo 2017.
rubbish
 
Mtakuwa ni vichaa mlliologwa na aliyewaloga ameshafariki!!!!
 
Kwa nini usiwe mkweli kwamba wewe na hao wazalendo wenzako mnaenda Dodoma kwa ajili ya matibabu ya akili pale milembe?Nawatakia safari njema na Mungu awatangulie katika matibabu yenu ya kiakili.

Nilifikiri ule umoja wenu ulikufa,kumbe bado upo?Hongereni vijana na nawatakia kila la kheri katika kikundi chenu cha "UMOJA WA KUMPONGEZA MAGUFULI(........).
 
Ujinga mtupu

Nguvu hizo mngetumia kwenye hustling na plan za maisha ,saizi mngekuwa kama Bakhresa ,

Hakuna mwanasiasa atakayekubadilishia maisha zaidi ya Kukuongezea tozo la kodi wakati ww unaandamana watoto wa wakubwa wapo kwenye viyoyozi
 
Back
Top Bottom