Recent content by emanueldeo

  1. E

    Hivi hawa tcu na nacte wanampango gani na walimu

    Hawawezi kazia hiyo GPA ya 3.5 wewe itakuwa ni tatizo kubwa na vyuo vitafungwa kwa kukosa wanafunzi afu wewe hushtuki tu mbona admission zinachelewa !jiangalie wewe kitambo ufaulu upo vile vile ila ilitakiwa tu kuondoa janja janja ya kupata vyuo bila sifa na siyo kukomoa kwa kupandisha GPA kwa...
  2. E

    Tetesi: Abdallah Bulembo akalia kuti kavu kisa elimu yake

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  3. E

    Tetesi: Ni kweli mishahara itachelewa mwezi huu?

    Daaa!hakiki ujumbe wako kabla hujaweka humu maana hamna vilaza wa kuburuzwa humu aiseee
  4. E

    Mh. Ndalichako, umebariki huu wizi wa HESLB na NACTE/TCU?

    True mkuu wanaiba bila wasi wasi pesa ya masikini anayetaka kusoma akomboe family yake its too much painful
  5. E

    Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  6. E

    Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86]
  7. E

    Je Ndalichako hajasoma vigezo vya TCU?

    Sikieni nyie mbona mnabisha kitu ambacho kipo wazi kuna tofauti ya miaka ya kumaliza pale someni vizuri afu wa 2016 mwenye DE ,AE,CE,BE,haendi popote labda upige diploma na huko wamekaza ila mwenye DD,AA,BB,CC huyo anakwenda chuo kakizi vigezo sasa wewe baki unashangaa shilingi inazama afu meli...
  8. E

    Written interview TRA

    Poa bro tutakaza
  9. E

    Muhimu kwa wanao-apply mkopo 2016

    Kwa mwenye uelewa na tofauti kati ya NTA level six na NTA level five katika kuchanganua GPA ili kujiunga na degree 2016/17 maana kuna mtu kaniambia tucu wanachukua nta level six yani diploma 2 na siyo diploma 1 na 2
  10. E

    Written interview TRA

    Poa bana tutajitahidi hivo hivo kitaeleweka tu
  11. E

    Written interview TRA

    Mimi pia nimeitwa kwenye interview post ya preventive assistant sasa nilikuwa nataka kujua wanauliza maswali ya aina gani ?afu nimesomea sheria mkuu naomba msaada hapo
  12. E

    Written interview TRA

    Niaje asee mimi pia nimeitwa kwenye interview TRA katika post ya preventive assistant sasa na mimi nilikuwa naomba kujua wanauliza maswali gani maana mimi nimesomea sheria
  13. E

    Wanafunzi wa UDOM warudishwa 382 tu

    Hapo ndiyo mbivu na mbichi zinajulikana Kama kipato chako kidogo utaweza jisomesha vipi sasa
  14. E

    Sifa za kujiunga na chuo kikuu 2016

    Unapata vipi hujiamini au siyo ww [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  15. E

    Waliokua wameomba vyuo kupitia NACTE sasa rasmi muombe kupitia TCU kwa gharama mpya

    Hii haitakaa muda mrefu lazima watarudisha grade za zamani tu vyuo vingine havitapata watu kuna course zingine ni ngumu sasa mtu upate vipi 3.5 kama vipi wangeweka hata 3--- ila kwa walichofanya wamekosea
Back
Top Bottom