Wanafunzi wa UDOM warudishwa 382 tu

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
500
Waziri wa elimu sayansi n.a. teknolojia prof. Joyce Ndalichako ametangaza rasmi kua serikali imewarudisha wanafunzi 382 Kati ya 7882 UDOM kua hao ndo wamekidhi vigezo vya kua pale kwa kupata daraja la kwanza hadi la tatu na kufaulu masomo ya science huku ikiwaondoa wote wasio na sifa na vilevile kuwapangia wengine vyuo vya butimba na kleruu na kuwaagiza wajisomeshe kwa gharama zao wenyewe
 
Kaparo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
1,667
2,000
Waziri wa elimu sayansi n.a. teknolojia prof. Joyce Ndalichako ametangaza rasmi kua serikali imewarudisha wanafunzi 382 Kati is 7882 UDOM kua hao ndo wamekidhi vigezo vya kua pale kwa kupata daraja n.a. kwanza hadi la tatu n.a. kufaulu masomo ya science huku ikiwaondoa wote wasio n.a. sifa n.a. vilevile kuwapangia wengine vyuo vya butimba n.a. kleruu n.a. kuwaagiza wajisomeshe kwa guarana zao wenyewe
Muongo!!
 
Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
500
Subiri usiwe n.a. pupa wala usikurupuke subiri info kamili leo kwenye habari
 
Amon Mtekateka

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
1,225
1,500
Waziri wa elimu sayansi n.a. teknolojia prof. Joyce Ndalichako ametangaza rasmi kua serikali imewarudisha wanafunzi 382 Kati ya 7882 UDOM kua hao ndo wamekidhi vigezo vya kua pale kwa kupata daraja la kwanza hadi la tatu na kufaulu masomo ya science huku ikiwaondoa wote wasio na sifa na vilevile kuwapangia wengine vyuo vya butimba na kleruu na kuwaagiza wajisomeshe kwa gharama zao wenyewe
Wangesema ukwel mapema kama hawana mikwanja sio kuwaangaisha watoto wa watu.
Na undergraduate wa mwaka huu kaz wanayo weng wataahirisha mwaka
 
Sadick Nkinda

Member
Feb 15, 2014
77
95
hao 380 ni wale wanaobaki udom then hao wengine wamepangwa vyuo vya serikal au unatak nikulrtee link udawn lod usiprnd kuchukua habri juu juu kama demu
 
Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
500
hao 380 ni wale wanaobaki udom then hao wengine wamepangwa vyuo vya serikal au unatak nikulrtee link udawn lod usiprnd kuchukua habri juu juu kama demu
Demu nani we m.se.nge kwani hukuona hapo nimeandika wengine wamepangiwa vyuo vya butimba n.a. kleruu we ndo unakurupuka soma post nzima umalize fala wewe
 
SECHA BOY

New Member
Jul 17, 2016
3
45
Waziri wa elimu sayansi n.a. teknolojia prof. Joyce Ndalichako ametangaza rasmi kua serikali imewarudisha wanafunzi 382 Kati ya 7882 UDOM kua hao ndo wamekidhi vigezo vya kua pale kwa kupata daraja la kwanza hadi la tatu na kufaulu masomo ya science huku ikiwaondoa wote wasio na sifa na vilevile kuwapangia wengine vyuo vya butimba na kleruu na kuwaagiza wajisomeshe kwa gharama zao wenyewe
achakupotoxha watu nanii ajixomexhe watu bana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom