Written interview TRA

Da Lu

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
1,209
2,839
Jamani waungwana naomba mnisaidie kwa mtu aliyewahi kwenda kwenye written interview TRA je ni maswali gani wanauliza?
 
Nimesomea accounting then niliomba nafasi ya assistant customs
 
Soma madesa yako yote ya degree au dip ukihisi uvivu au kupuuzia puuzia ujue hizo nafasi zina watu tayari walopewa marking scheme ya hizo pepa.
 
ok unajua ingekua poa kama Kuna mtu alihudhuria interview ya kwanza ya izo post atupe mwanga kidogo ila naona raia wote wanakuambia soma kila kitu!
wapo kibao tu sijui leo imekuaje
 
aisee me nimeitwa nafasi ya preventive assistant..kama unafahamu au uliattend interview ya nyuma nipe mwanga wa maswali Yao inakuaje?
Niaje asee mimi pia nimeitwa kwenye interview TRA katika post ya preventive assistant sasa na mimi nilikuwa naomba kujua wanauliza maswali gani maana mimi nimesomea sheria
 
Jamani waungwana naomba mnisaidie kwa mtu aliyewahi kwenda kwenye written interview TRA je ni maswali gani wanauliza?
Mimi pia nimeitwa kwenye interview post ya preventive assistant sasa nilikuwa nataka kujua wanauliza maswali ya aina gani ?afu nimesomea sheria mkuu naomba msaada hapo
 
Mimi pia nimeitwa kwenye interview post ya preventive assistant sasa nilikuwa nataka kujua wanauliza maswali ya aina gani ?afu nimesomea sheria mkuu naomba msaada hapo
Mm mwenyewe nmeitwa sijui hata naanzia wapi wenye kujua wamegoma
 
Jamani waungwana naomba mnisaidie kwa mtu aliyewahi kwenda kwenye written interview TRA je ni maswali gani wanauliza?
Hapo mwanawane ni mwendo wa kudesa aisee. Written interview ni sawa na kutafuta coursework. Desa kwelikweli
 
Aisee wale ambao wana interview 23rdJulY tuwasiliane kwakubonga throu phone if it's necessarY!
 
Back
Top Bottom