Sifa za kujiunga na chuo kikuu 2016

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
Naomba ufafanuzi, nimepata: Physics D; Biology E; na Chemistry E, which is = Total points 4. Je kwa mtindo wa minimum 4 points from two principal passes nina sifa za kujiunga na chuo kikuu (University)
 
bajok

Senior Member
Jun 6, 2016
152
225

E os unknown for them
 
h.imani

Senior Member
Oct 2, 2011
191
225
Naomba ufafanuzi, nimepata: Physics D; Biology E; na Chemistry E, which is = Total points 4. Je kwa mtindo wa minimum 4 points from two principal passes nina sifa za kujiunga na chuo kikuu (University)
Masomo mawili ndio yanachukuliwa na sio matatu. Kwahiyo hapo D+E=3.0. Huwezi kwenda labda urudie kufanya mitihani yako au uende diploma. Nako ukasome kwelikweli.
 
h.imani

Senior Member
Oct 2, 2011
191
225
No. Chuo lazima upate. Vyuo ni vingi sana. Hakuna kitakachojaa. Njoo MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY. hapa kigamboni.
 
Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
690
1,000
HGL nataka ni apply education?
Competition ya watu wa arts ni kubwa mno kwa mwaka huu ila science people hata wenye div. 3 za 15 watachaguliwa baadaye kwenda chuo wakishaona wanafunzi wanaopita kwa science kwenda chuo ni wachache coz wengi wao tokeo lao ni div. 2 na 3 kwa ww wa HGL nisiwe mwongo hutaiweza competition ya kozi nzuri ambazo watu wa HGL wanaweza omba kama utachagua education sio rahisi upate chuo bora ila kwenda chuo unaenda usiwe na wasiwasi ishu ni nn utasoma
 
sam97

Member
Feb 27, 2016
97
95

asante nmekuelewa
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,116
2,000
Kuna huyu mdogo wangu kapata E ya economics C ya geography na F ya math anaweza kupata chuo? jinsia ya kike ana 111 ya 14
 
Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
690
1,000
Kuna huyu mdogo wangu kapata E ya economics C ya geography na F ya math anaweza kupata chuo? jinsia ya kike ana 111 ya 14
anapata coz ana cut off points ya nne so haina shida ila hatapata kozi nzuri coz hiyo combination watu wamefaulu sana na arts kwa ujumla ila chuo anapata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom