Recent content by emanuel198723

  1. emanuel198723

    Dawa ya mwanamke jeuri ni kipigo tu hakuna namna

    Dawa ya mjeuri ni kuwa jeuri zaidi yake, tafuta mwenzie mzuriiiiiiii, mwachie kila kitu we sepa, ila vitu vyote andika majina ya wanao, hakuna haja ya kupigana siku hizi maana maisha tu yenyewe ni kipigo tosha
  2. emanuel198723

    Obama na Mke wake wanavyoushusha Uraisi wa USA!

    Eeeh, mkuu we mpaka leo unajua Rais ni Obama? Acha tu Trump atutukane
  3. emanuel198723

    Usile ulichokuta kwenye friji

    Hii imeeleweka, na ukilichunguza hilo tango au ndizi utakuta lina mtelezo kama wa mafuta, sijui ndo ule ubaridi au la! But Usile!
  4. emanuel198723

    Rais Museveni eti alikosea mwaka wake wa kuzaliwa, ajisogezea mbele!!

    Binadamu wa aina ya museveni ndio wanaosababusha Trump atutukane!, ulafi tu unamsumbua
  5. emanuel198723

    Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

    Kama ni zawadi nastahili, huu langu limepata comment nyingi sana, hahahaaa
  6. emanuel198723

    Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

    Umepata shoruba huo mkuu, goti lilinyofoka lote hilo, huo ndo mguu wa mwanaume
  7. emanuel198723

    Nilizalishwa na kudhalilishwa

    Huna haja ya kumuumiza maana hutakiwi kulipa baya kwa baya, jifunze kusamehe na haijalishi uliumizwa kwa kiasi gani! Pengine huo ni mtihani uliopewa na kipimo ili baadae uje upate hesabu nzuri mbinguni! Mshinde shetani, akirudi mkaribishe kwa upendo, mwambie nimekusamehe maana ulikuwa hulijui...
  8. emanuel198723

    Ofisa Operation TPA afukuzwa kazi baada ya kukutwa akimuinamisha mdada ofisini!

    Wabongo kweli ni ma snitch, kwani iliwahi kutokea kesi ya ubakaji? Kuna mtu aliwahi kulalamika kubakwa? Sasa how umchome mtu kwa boss afukuzwe kazi na usawa huu? Acheni hizo jamani!
  9. emanuel198723

    Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    Ile sehemu bhana! Ni sawa na kukataza mbuzi katoliki, ukijaribu kutafuna kuacha ni shida.
  10. emanuel198723

    Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

    350000 na dola
  11. emanuel198723

    Wanaume walio wengi wana tabia kama za mbwa

    Mkuu inawezekana kunitumia hili somo whatsap?
  12. emanuel198723

    Wanaume walio wengi wana tabia kama za mbwa

    Hili somo limenifungua, kweli kuwa mwalimu sio kigezo cha mwanao kupata ufaulu wa hali ya juu. Asante
  13. emanuel198723

    Hivi wanawake huwa mnajisikiaje?

    Wengi hunywa bapa kwa sababu ya vyuma kukaza, ukinywa bia 4 ni 10,000 na hulewi, bapa moja 8000 na unakuwa saaaafi
Back
Top Bottom