Joanah!!!Tunajisikia fresh tu
Kwani kipi cha ajabu kuhusu bapa?
Si ndio Bapa?Bapa maana yake nini?
Wewe unahitaji vumbi basi aka mundende.Sidate walevi hivyo sina jibu.
Mafuta ya taa [emoji23] [emoji1] [emoji119]Bapa maana yake nini?
Unaogopa live show [emoji23] [emoji1] [emoji119]Sidate walevi hivyo sina jibu.
La nini sasa!!Wewe unahitaji vumbi basi aka mundende.
Walevi wana live show!!!Unaogopa live show [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Mazoezi ya nini?[emoji3][emoji3][emoji3]Mwanaume jiamini bhana hizo bapa sijui vumbi la Congo yote ya nn kuharibu mwili wako hiyo ni dalili ya uoga,
Ukitaka kumpagawisha mwanamke kula matunda na maji mengi halafu Fanya mazoezi ya k....ut......omba, lazima akimbie show.... [emoji23] [emoji1]
Kwa mwanafunzi wa darasa la 7. [emoji23]Mazoezi ya nini?[emoji3][emoji3][emoji3]
Afu unayafanyia wapi sasa?
Pombe siyo nzuri bora sigara... [emoji4]Walevi wana live show!!!
Huwa nasikia hawana lolote.
Bibie umesema Walevi huna mipango nao,La nini sasa!!