Elly255
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 884
- 1,432
Ukitaka kuishi kwa furaha msamehe mtu bila kuwa na condition. Tunafundishwa upendo wa kweli (agape) hauna masharti wala haujivuni na unastahimili jiulize ukimtukana na kumdhalilisha itakusaidia nini??
Jibu ni hakuna. Hivo mwambie nimekusamehe kwa yote uliyofanya japo hatuwezi kurudiana.
Utaishi kwa furaha sana .
Usimchukie yeg chukia uovu wake kwahiyo Mwombee ile roho chafu imuondoke asifanye madhambi yale kwa mtu mwingine

....mbele za watu mwambie kibamia chako sikitaki tena......usisahau kutupa mrejesho!