Dawa ya mwanamke jeuri ni kipigo tu hakuna namna

Dawa ya mwanamke jeuri ni kipigo tu hakuna namna

Habari zenu Wanajamvi, Leo kwa niaba ya Wakurya napenda Kuwapa japo kwa ufupi kuwa kumuadhibu mwanamke siyo dhambi,

Wakuu kutokana na ongezeko la wanaume kujiua kwa sababu ya kukosewa nidhamu na wake zao, na hata wengine kuja huku jukwaani kuelezea ni namna gani wanavyopata mateso kwenye ndoa zao leo nimeona upo umhimu wa kutoa somo hili kuwa kumuadhibu mwanamke wako pale anapokwenda kinyume na maadili siyo dhambi,

Naomba niwape tu kwa ufupi kuwa ukifuatilia ongezeko la malalamiko ya wanaume kuhusu kuhujumiwa na wake zao limeongezeka kwa kasi Kuanzia karne hii ya 21 kutokana na ongezeko la vyombo vya utetezi wa haki za wanawake, Naomba nieleweke vizuri kuwa hapa sina maana kuwa ninachochea udikiteta na unyanyasaji na udharirishaji wa kijinsia ya kike ila nataka kuweka mambo sawa ili jamii ielewe hili kuwa wanaume tunaumia sana na hawa wake zetu ambao wanatunyanyasa kila kukicha majumbani na huku wakitetewa kila sehemu pale tunapojitahidi kuwakanya,

Ni juzi tu jirani yangu hapa mjini aling'olewa jino na mke wake tena kibaya zaidi ni jino la sebuleni yaani front page...ila hakuna hatua zozote zilizochukulia dhidhi unyama huo ila angekuwa yeye ndo kamng'oa ingetangazwa hadi kwenye vyombo vya habari ila hapa kesi iliishia kwa balozi wa nyumba kumi tu,

Naomba turudi kwenye maandiko matatifu yanasema kuwa mwanamme amepewa mamlaka ya kumtawala mwanamke ikiwemo na kumtia nidhamu pale anapokosea kumbuka kumchapa mtu ni kumshikisha adhabu ila inasikitisha waliobadili maana hiyo na kuiita majina ya ajabu kuwa ni unyanyasaji, udhalilishaji na unyimwaji wa haki za msingi,

Tukumbuke kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu na haya sio maneno ya youngtozy ila ni maneno ambayo yapo hata katika maandiko matakatifu na ili mwanamke aweze kukaa katika mstari ulionyooka lazima awezeshwe na mwanamme hii inadhihilisha kuwa kumbe ili mwanamke akae mstari sawa na maadili lazima aongizwe na mwanamme,

Hapa tukirudi katika taaluma ya Utawala nadhani swala la utowaji wa adhabu kwa wakosaji ni moja ya kipengere mhimu katika psychology treatment ya mtu ambae ambae haelewi au kwa mvunjaji wa sheria kimaksudi,

Hivyo naomba nirudie kwa kumaanisha tena kwa msisitizo dawa ya mwanamke jeuri ni kumshikisha adabu,

Please Mood nawaombeni Msiondoe huu uzi, siwadharau wanawake maana ndio mama zetu na wasaidizi wetu na kila mafanikio ya mwanamme mwanamke yupo pembeni ilaukweli ni kwamba Mwanamke nahitaji mwongozo kwa mwanamme ikiwemo psychological treatment,
Sijui nikutukane???? Ok basi . Je, wewe ukikosea tukufanye nini?
 
Hakuna jeuri za makusudi
Pia ikitokea hvo chunguza kwanza kabla ya kufanya maamuz huenda wewe ndo source ya yeye kua jeuri.
Illuminata , ktk maisha yangu napenda kua na Aman namwenye furaha muda wote.
Hivyo basi huwa najitahidi kumuishi MTU in such way kwamba nisimfanye akawa source yamm kutokua na aman.

Natena anapokua nimwanamke Wangu ,automatically huwa nahakikisha natimiza wajibu Wangu hasaaa , migogoro inayokuwepo huwa mingine niyakunogesha mahusiano tu maana no body is perfect.

Sasa basi ,haiwezekan nijitahidi ktk hayo yote ,halafu bado unaniletea jeuri ,unakua na makusudi yasokua na msingi ,, kuna kitu hujakifurahia niambie ,kunakitu unahitaji nikifanye au nijirekebishe Zungumza nami LAKINI sio kunikalia kimya nakuanza kunifanyia maujeuri yasokua na maana ,jeuri mpakaa heshima yangu ishuke ....

Weeeee nani kasema ??? Nilishasema na nitaendelea kusema ,Kwamwanamke ninahitaji Heshima tu. Sasa uniletee Jeuri na Kiburi ilihali hutaki kuzungumza ,,Mimi nimekua malaika mpaka nijue wapi? nalini? na jinsi gan ? .

Mama kuna mawili tu
[emoji117] [emoji117] kipigo au
[emoji117] [emoji117] nikukalie kimyaaaaaaa mpaka ujishtukie. Au
[emoji117] [emoji117] Tuachane tu .

Unajua nn ,, ziwani kuna kila aina ya samaki , kuliko nihangaike na Sangara ,bora nitafute kasato kangu nitulie.
 
Ukinipiga naminya hizo testes mbona utajuta ulianzaje
Dooohhhh inaogopesha kwakweli.

Ukijua sehemu yako "Vizuri" namwenzio akajua sehem yako vzuri hamna. Magonvi.


Shida nipale ,unataka kufanyiwa Yale ambayo hupendi kumfanyia mwenzako.

Mizani inapokosa usawa nitatizo ..nakama Mimi nilishaapa ,kamwe MTU hatokua chanzo chamm kuumia ,, kwaivo kuoa ,ukaleta nyodoooooo namijeuriiiiiii ,,aiseeee mbingu na Ardhi zitanisamehe ,hamna njia nyingine zaidi ya kukuacha tu.
 
Hakuna sheria ya malezi inayosema usimshikishe adhabu mkosaji itakuwa wewe ndie wa hovyo....
maana kama malezi hayo yapo basi mahakama na adhabu kwa wakosaji zisingekuwepo na ikumbukwe kosa katika imani na misingi ya Dini ni kosa vile vile hata katika sheria za nchi

.......Shoga sio lazima avae bikin hata kauli tu hudhihilisha ufupi wa fikra
Kwa ukubwa upi ulionao useme unampa mke malezi, malezi wanapewa watoto tu mke mkubwa mwenzio huwezi mchapa kama mtoto. Uoe wa kijijini ambaye hajui haki zake ndo utamchapa hovyo na akipata ujanja tu anakukodia mabaunsa yakunyooshe
 
Illuminata , ktk maisha yangu napenda kua na Aman namwenye furaha muda wote.
Hivyo basi huwa najitahidi kumuishi MTU in such way kwamba nisimfanye akawa source yamm kutokua na aman.

Natena anapokua nimwanamke Wangu ,automatically huwa nahakikisha natimiza wajibu Wangu hasaaa , migogoro inayokuwepo huwa mingine niyakunogesha mahusiano tu maana no body is perfect.

Sasa basi ,haiwezekan nijitahidi ktk hayo yote ,halafu bado unaniletea jeuri ,unakua na makusudi yasokua na msingi ,, kuna kitu hujakifurahia niambie ,kunakitu unahitaji nikifanye au nijirekebishe Zungumza nami LAKINI sio kunikalia kimya nakuanza kunifanyia maujeuri yasokua na maana ,jeuri mpakaa heshima yangu ishuke ....

Weeeee nani kasema ??? Nilishasema na nitaendelea kusema ,Kwamwanamke ninahitaji Heshima tu. Sasa uniletee Jeuri na Kiburi ilihali hutaki kuzungumza ,,Mimi nimekua malaika mpaka nijue wapi? nalini? na jinsi gan ? .

Mama kuna mawili tu
[emoji117] [emoji117] kipigo au
[emoji117] [emoji117] nikukalie kimyaaaaaaa mpaka ujishtukie. Au
[emoji117] [emoji117] Tuachane tu .

Unajua nn ,, ziwani kuna kila aina ya samaki , kuliko nihangaike na Sangara ,bora nitafute kasato kangu nitulie.
Mkuu katika wachangiaji wote hapa umeongea la maana sana
Sidhani kama mwanaume atakuwa kupunguani kiasi gani amgeuze mke wake ngoma ya singeli
Ijapokuwa ninachokimaanisha hapa ni lazima uwepo utofauti katika familia kati ya mke na Mme na ndio heshima itakuwepo,
Tatzo hivi vijamaa vya mwaka jana vinasumbua sana,

Yaani juzi nimeshuhudia rafiki yangu anavunjiwa Simu Iphone6 na mke wake eti Kisa Kapigiwa simu na mfanya kazi mwenziwe wa jinsia ya kike kwa mambo ya kiofsi na ushahidi ninao kuwa jamaa hakuwa na mahusiano nae,
Na kibaya zaidi amemvunjia mbele ya marafik zake tukiwepo,

Hapo ndo Mwanamme utoke hapo uende kununua kanga sijui kitenge eti ngoja nimwadhibu?

Acheni ujinga ndugu zangu uanaume hauko hivyo tangu karne na karne

Kingine huwa nawashangaa watu wanaonifananisha na Beira mtoto wa miaka 16 na ukiangalia hawana hoja za msingi katika kuchangia kwao,

Wanaume tumebaki wachache sana miaka hii [emoji15] [emoji15]
 
Kwa ukubwa upi ulionao useme unampa mke malezi, malezi wanapewa watoto tu mke mkubwa mwenzio huwezi mchapa kama mtoto. Uoe wa kijijini ambaye hajui haki zake ndo utamchapa hovyo na akipata ujanja tu anakukodia mabaunsa yakunyooshe
Mkuu Sidhan kama unachokiongea kina mashiko

Sidhani kama mwanaume atakuwa kupunguani kiasi gani amgeuze mke wake ngoma ya singeli Ijapokuwa ninachokimaanisha hapa ni lazima uwepo utofauti katika familia kati ya mke na Mme na ndio heshima itakuwepo, Tatzo hivi vijamaa vya mwaka jana vinasumbua sana,
Yaani juzi nimeshuhudia rafiki yangu anavunjiwa Simu Iphone6 na mke wake eti Kisa Kapigiwa simu na mfanya kazi mwenziwe wa jinsia ya kike kwa mambo ya kiofsi na ushahidi ninao kuwa jamaa hakuwa na mahusiano nae, Na kibaya zaidi amemvunjia mbele ya marafik zake tukiwepo,
Hapo ndo Mwanamme utoke hapo uende kununua kanga sijui kitenge eti ngoja nimwadhibu?

Acheni ujinga ndugu zangu uanaume hauko hivyo tangu karne na karne

Kingine huwa nawashangaa watu wanaonifananisha na Beira mtoto wa miaka 16 na ukiangalia hawana hoja za msingi katika kuchangia kwao,

Wanaume tumebaki wachache sana miaka hii [emoji15] [emoji15]
 
sawa beira baby boy, umesomeka
Nadhani kijana ushike adhabu yako kabla ya kuandika maoni yako yanayodhihilisha kiwango chako cha uelewa na upembuzi wa mambo kila kitu usikichukulie katika mtazamo cha chit-chart
Huwezi kufananisha fikra zangu na za mtoto wa 16 nadhani hoja zangu hapo juu zinamaelezo na vigezo vinavyoeleweka punguza ujinga uliopo kwenye kichwa chako
 
nakushangaa mtoa hoja kuwa mpaka karne hii bado unaamini vipigo na viboko ni muafaka wa matatizo,haya ni mawazo duni,ya kishenzi na kinyama,na sitashangaa sana kuona hata watoto wako unawalea hivyo kwa vipigo;UPENDO ndio njia pekee ya kujenga familia bora ,mwenzako anapokukosea ni kuongea naye kuwa hukupendezwa na kitendo alichokifanya,bila kutumia lugha ya vitisho,upendo unatengeneza familia bora na hatimaye taifa bora.
 
Na wewe siku ukiwa jeuri utuite wanaume tuje tukutwange.

Unadhani kuwa mwanamke ni ngoma ya segere na vigodoro!?

Sijui ulipewa malezi gani wewe kijana!!?
Mkuu kwan jamaaa kakosea wap?kwel wewe ndowale mnaoongozwagwa na wanawake
 
Dawa ya mjeuri ni kuwa jeuri zaidi yake, tafuta mwenzie mzuriiiiiiii, mwachie kila kitu we sepa, ila vitu vyote andika majina ya wanao, hakuna haja ya kupigana siku hizi maana maisha tu yenyewe ni kipigo tosha
 
Back
Top Bottom