Recent content by Emanuel14

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya mafanikio ya Lady Jay dee

    Ni mwanamuziki Wa ukweli mwenye ujumbe mahususi .
  2. E

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi ANENA -MABEGA YAMEWABEBA MSIYAKATE

    Ni kweli aliyosema mkuu.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nimempoteza baba mzazi leo mchana Muhimbili Hosp

    Pole sana, mkuu. Let our father rest in peace. Pole sana Mungu awatie nguvu zaidi kwa kipindi hiki kigumu, kwa mtazamo wa wanadamu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Yasome haya yatakusaidia katika maisha yako

    Umesema vyema ubarikiwe mkuu.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali:Kwa anemfahamu Geoge John Mbena.

    Samahani labda nimetumia jukwaa silo ila naomba mwenye kumfahamu mtajwa hapo juu au ndugu yake yeyote ani pm. Kuna mambo ya msingi ya kufanyanyia kazi. Sio lazima ujibu kama haikuhusu ni bora uache.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa EFDs: Kilichopo nyuma ya pazia. Serikali isimame IMARA

    Acha wagome tu maana hata hiyo kodi kidogo wanayopata hawaitumii ipasavyo. Hopitali hazina dawa, umeme sio wa uhakika, barabara mbovu basi taabu tu, wao kila siku tuongeze kodi kwa manufaa yao na familia zao. Mgomo uendeleee,
  7. E

    JamiiForums Tanzania Taja Jina Lake na Madhila Yaliyompata

    John f kennedy alikuwa rais wa America aliuwa kwa risasi.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Taja Majina Yake Rasmi Matatu. Alikuwa Nani Katika Nchi Anayotoka?

    Rashid Mfaume Kawawa, anatokea Tanzania
  9. E

    JamiiForums Tanzania Dr Bahati Kaluwa katutoka

    R i p docter. Mungu awatie nguvu familia ya dr, kwa kipindi hiki kigumu.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtambuzi apatwa na Masiba

    Pole sana kaka,
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wa mikoani.

    Dar ni jijini, Arusha pia ni jiji, hivyo kuna tofauti kati ya jijini na mkoani.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Vodacom ni wezi,?

    Nilikuwa nauliza kwanza bwana, Mzaramu sio kila kitu tu polisi mengine yanazungumzika.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Vodacom ni wezi,?

    Jamani hawa voda ni wezi, sana leo nimeweka kiasi fulani cha hela ili niweze kujinga na kifurushi, sasa baada tu ya kuingiza vocha salio likasoma sawa sasa ikawa kila ninapojiunga simu, inasema huna salio nikaona niangalie tena salio kwa kuwa sikupiga, na wala sikuandika sms,. Nikaona ni bora...
  14. E

    JamiiForums Tanzania mimi simo

    We jamaa mi nilikuwa najua zinakutosha, kumbe na wewe sawa tu na wale.
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tafuta mnyama kwenye hii picha

    Chui anaonekana kichwa pembeni upande wa kulia wa mti kwenye nyasi.
Back
Top Bottom