Wadau kwenye hii picha kuna mnyama, hebu mtafute na useme umeona mnyama gani. Zawadi ipo
View attachment 119895
hahahahaaaa...kumbe unasemea wanaowezapatikana hapo.....basi nipe mji