Tanzia: Mtambuzi apatwa na Masiba

Tanzia: Mtambuzi apatwa na Masiba

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Kwa Masikitiko napenda kuwajulisha kwamba mwenzetu Mtambuzi amepatwa na msiba hapo jana, Msiba umetokea kwa kaka yake Mwenge kwenye maflat ya Jeshi Mwenge aliyefariki ni mtoto wa Shemeji yake Mtambuzi na msiba unatarajiwa kusafirishwa kwenda Kilimanjaro leo hivyo mipango yakusafirisha inafanyika Muhimbili Mortuary leo hii Asubuhi.Tunawaombea wafiwa wawe na moyo wa uvumilivu hasa katika kipindi hiki kugumu.Amina
 
Last edited by a moderator:
pole sana mtambuzi,japo ningependa kukutaja kwa jina lako halisi badala ya hili la bandia.
 
Pole sana Mtambuzi na familij yako kwa ujumla. Mungu awafariji katika kipindi hiki.
 
Last edited by a moderator:
Poleni kwa msiba, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Marehemu apumzike kwa amani.
 
Pole sana Mtambuzi na familia yote...

Tupo pamoja kwenye kipindi hiki kigumu

Sent from BlackBerry 9520
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom