Recent content by emanuel shonza

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nauza maharage

    Mwenye uhitaji wa maharage aina ya njano au kigoma anitafute 0744277879
  2. E

    JamiiForums Tanzania Maharage ya 'Njano' yanahitajiki

    Yapo mengi tuu na si yakumaliza but ni rukwa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela leo kamudu kuendesha kipindi bila ushabiki wa kivyama

    Kimsingi Leo Sam kamudu sana kipindi anastahili kupongezwa kwa hili
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jerry Muro kufungiwa kujihusisha na soka kwa miezi 8.

    Kuhusu Jerry bora afungiwe kwanza anaigharim sana timu kwa kauli zake za zisizozakiungwana
  5. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Nyie ndio mnao amini kuwa maisha ni lazma uajiriliwe na serikali tu na sivinginevyo usijifananishe. Na bill wew
  6. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Maisha bila kuajiriwa na serikali inawezekana ni mda wa kubadili mindset mm nadhani tufikiri kuhusu kujiajiri na si kuajiriliwa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Water Pump, Generator na Brush cutter zinauzwa

    Sawa mkuu nimekuelewa
  8. E

    JamiiForums Tanzania Water Pump, Generator na Brush cutter zinauzwa

    Hiyo genereta yenye nchi 3 inaweza sukuma maji mwisho umbali wa mita ngapi?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wacharuka kuhusu serikali kutaka kukata mafao yao

    Tatizo la wabunge wetu hawao kwaajiri ya maslah ya wananchi swala linapotokea la kumkandamiza mwananchi wao no ndiooooo likitokea la kuwabana maslah yao wanakuwa mbogo yote kwa yote wabunge wetu ni wasaka tonge tuu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Upi ni muda sahihi wa kutafuta mwenza mpya baada ya kuachana na mwenza wa zamani?

    Walau ukikaa miaka mitatu itakuwa vizuri zaidi
  11. E

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Newara mtwara mm nije rukwa wilaya yoyote no.0762538863
  12. E

    JamiiForums Tanzania G.P.A ya mbunge David Silinde

    G.P.A ya David Silinde itakusaidia nini angalia mambo yako wewe
Back
Top Bottom